Posts

NDOTO ZINAZOHUSIANA NA FUNZA KUOZA TAFSIRI NA HATUA ZA KUCHUKUA

Image
KABLA ya kuanza darasa hili napenda kutoa muongozo nimekuwa nikiuweka mara kwa mara hapa. Maswalu yote ya ndoto nayajibu hapa bure kabisa ukiona umesoma post ikaandikwa maswali ya ndoto uliza hapa chini, basi ukiuliza utajibiwa. Wanaohitaji kutafsiriwa private inbox aidha kwa kuona haya kuuliza hapa ama yuwaona mambo yako ni ya siri nmeweka pia utaratibu utalipia utatsfiriwa hivyo huwa sijib mesej za ndoto ila kwa wanaolipia maana nmetoa fursa hapa. Pia kama umempatia mtu namba yangu ana shida za kindoto basi mtosheleze kwanza kuhusu utaratibu au muelekeze aje hapa aulize ni bure. Darasa la leo litahusiana na kuwaona funza ama vitu vilivyooza kwwnye ndoto. Ili kitu kitoe funza lazima kiwe kimeoza na ili kioze lazima kiwe kimekufa hivyo vitu vinavyotawaliwa na funza mara nyingi huwa vimekufa na kuoza. Hivyo kwa asilimia kubwa funza ndotonk huashiria kufa kwa kitu, ama maradhi yaweza kuwa kuondoka ama kuingia. Pia huashiria mashambulizi ya nafsi inayohusiana na mambo ya sihir

TIBA YA HEDHI ISIYOKATA. HEDHI ISIYOKOMA SABABU NA TIBA YAKE

Image
SHIDA, MARADHI YA HEDHI ISIYOKOMA 'ISIYOKATA' KILA mwanamke aliyefikua baleghe yampasa kumpaka hedhi mara moja kwa kwa mwezi. Ndio wajibu na ndio mfumo wa afya ya uzazi ulivyo. Wapo wanenda mara mbili ndnai ya mwez mmoja ila unachotakiwa ni kuzijua siku zako za kwenda hedhi wakati mwingine huo mwez utakuta na mkubwa bimaana unas iku nyingi kuliko mzunguko wako wa hedhi. Wapo mizunguko yao siku 25 wapo wengine 23 wapo wengine 27 nk. Mfano huyu mwenye mzunguko wa siku 23 halaf ikwa hedhi yake anakwenda siku tatu tu anakata. Ikitoke kaanza kupata hedhi tarehe moja mwezi kimahesab atamaliza tarehe tatu ya mwez ukijumlisha mzunguko wake ambao ni siku 23 basi unapata siku 26 huyu ana weza akaenda hhedhi mara mbili ndanu ya mwez ila mzunguko wake upo vile vile haujaharibika ni wala si tatizo. Hii huwatokea sana waliotoka kuzaa halaf hawaon hedhi labda miez saba nane mwaka wengine mpaka mtoto atembee wakija kuanza kupata hedhi huwasumbua na ratiba hubadilika huwa si ile ya awali. Huo n

ASILI, TABIA NA MZUNGUKO WA MAPENZI KINYOTA

Image
NIKIZUNGUMZIA NYOTA ZINAZOENDANA HIVI KARIBUNI. NIMEGUNGUA WENGI WENU HAMPENDI KUSOMA WALA MKISOMA MNAYAACHA HAPOHAPO UNAMKUTA MTU KILA SIKU AULIZA SWALI LILE LILE AMBALO USHALIJIBU. KWA KUKUONGOZEA MAARIFA KILA NYOTA INA ASILI YAKE KATIKA MAPENZI YAANI INA MTU AMBAYE AENDANA NAE. KUNA KUNDI LINALOENDANA HALAFU KUNA MTU AMBAYE AENDANA NAE YAAN KUNA NYITA ZIKIKUTANA HASAA NDIO MAFANIKIO HUWA MAKUBWA ZAIDI. KATIKA ILE MAKALA NIMEELZA KILA MTU ANA MTU WAKE WA NYOTA INAYOENDANA MTAFUTE HUYO IKIWA UNA MTU WA KUNDI LINALOENDANA BASI ITAKUWA NAFUU ILA MAFANIKIO YALE MAKUBWA HUTAYAFIKIA. HIVYO KAMA UNA MTU HAUENDANI NAE YAHITAJIKA MAMBO YA KITAALAM KUFANYIKA NA SI LAZIMA MM NDIO NISHUGHULIKIE MAANA KILA MTU ANA IMANI YAKE HIVYO WAWEZA FIKA KWA WATAALAM WA NYOTA WALIO KARIBU NAWE WAKASHUGHULIKIA UKIHITAJI MSAADA WANGU NAMBA ZIPO MWISHO WA MAKALA. MAELZO HAPA CHINI YANAHUSIANA NA TABIA ASILI ZA KILA NYOTA NA NINI CHA KUFANYA.             WATU WA NYOTA YA PUNDA Wana sifa y

DAWA ASILI ZA KUONDOA MADOA MICHIRIZI NA MAKOVU MWILINI

Image
BAADA ya kuongea kuhusiana na ukuzaji wa nywele kutoa chunusi na makunyazi usoni. Sasa tufahamu kuhusiana na kuondokana na Madoa makovu Michirizi na kuipa ngozi yako afya.   Wapo watu wanatumia gharama kubwa na muda mwingi kumaliza matatzo haya lakini wanaambulia patupu.     Wapo wengine hawana uwezo wa kifedha lakini pia hawana uelewa kuhusiana na vitu asili ambavyo unaweza ukavtumia kumalza tatizo. Leo nakupa njia tano za kuepukana na matatzo nlyoyataja hapo Juu. Km unatattzo moja kat ya hapo Juu chagua njia inayokufaa ambayo ni rahs kwako dumu nayo kwa majuma kadhaa utapata mabadlko   1.MTINDI.  Kwa wenye Madoa usoni tafuta.                           mtindi safi fanyia masaji kwa.                               dakika 15 hadi nusu SAA kisha.                           ukimaliza OSHA na maji vuguvugu                    Fanya hvyo kwa majuma kadhaa.                         utapata mabadiliko. 2.JUISI YA LIMAO  Kwa madoa ya mwilini.                               

MILANGO YA MARADHI YA KILA NYOTA

Image
NIMEWAHI kuzungumza kila nyota mambo yanayowahusu ikiwemo siku za bahati, watu wakushirikiano nao, maisha ya ujana na uzee. Kumiliki mali, pete za bahati nk. Kama ulipitwa soma post zilizopita, makala haya nitaongelea maradhi yanayowasumbua kila nyota na mwishoni nitatoa ushaur hatua za kuchukua soma kwa umakini mpaka mwisho wa makala. Anayekuletea makala haya ni mtabibu Asili tz.            MARADHI YA NYOTA YA PUNDA Wanaandamwa sana na husda za watu wao wa karibu na mara nyingi hurogwa na kukwamishwa mambo yao. Hupata fedha huwa haikai hujitoa sana kusaidia watu wanapokuwa nacho ila kusaidiwa kwao ni ngumu Maradhi yao huambatana na jini khafqaan huyu husumbua sana Moyo na Kichwa, mwili hupata joto pia mwili huchoma kama aliyejikoni. Siku ya kutibiwa maradhi yake sugu ni Jumanne itaangaliwa milango ya saa. Siku kwake ya kurogwa ni Jumapili pia huangakiwa masaa. Asili ya nyota hii ni Moto siku njema ni Jumanne na siku mbaya kwake ni Jumapili.          MARADHI YA NYOTA YA NG&

NDOTO ZINAZOHUSU JENEZA, KABURI NA ISHARA ZAKE

Image
TUPO KWWNYE MUENDELEZO WA NDOTO ZINAZOHUSIANA NA VIFO, MAITI, JANEZA AU SANDUKU NA KABURI. TAYARI NISHAFAFANUA KUHUSU KUWAONA WATU WALIOKUFA NDOTONI. PIA NDOTO ZINAZOHUSIANA NA MAITI KUONA KUZISHIKA NA MAMBO MENGINE. LEO NAONGELEA NDOTO ZA KABURI NA MAJENEZA AU SAMDUKU IKIWA ULIPIYWA NA NDOTO NILIZOELEZA HAPO JUU SOMA POST ZILIZOPITA UNA SWALI LA NDOTO ULIZA HAPO CHINI. Jeneza ama sanduku ni usafiri wa mwisho unaotumika kumpeleka marehem kwenye nyumba yake ya milele. Hivyo Jeneza hushiria huzuni ama mwisho wa jambo ya fulani wakati mwingine huashiria wema ama ubaya yategemea na mazingira ya muotaji yapoje.     NDOTO ZINAZOHUSINA NA JENEZA Ukiota upo ndani ya jeneza fasili yake  utajenga udugu na mtu kwa ajili ya mungu hivyo kuwa makini na aina ya marafiki ulonao. Ikiwa utaona umebebwa kwenye jeneza  Utatawala na kupanda daraja na watu watakufuata kama ulivyowaona ndotoni na pia ni ishara ya kuwashinda maadui zako.  Mazingira ya ndoto hzi zile zinazoishia kwwnye jeneza kisha

UKIOTA UMEKUFA UKIOTA UNAONA MAITI NDOTO ZA VIFO NA MAZINGIRA YAKE ISHARA NA TAFSIRI 'NDOTO ZA VIFO EP 2'

Image
Kama nilivyozungumza katika makala ya awali kifo ni mwisho wa mwanadamu na ni mwanzo wa maiti. Kwa hiyo ukiota kifo inaashiria ni mwisho wa jambo fulani na ni mwqnzo wa jambo jingine yweza ikawa kutoka kwenye ubaya kwenda kwenye wema au wema kwenda ubaya huzuni kwenda furaha umasiki kwenda utajiri na kinyume chake   NDOTO ZINAZOHUSINA NA MUOTAJI KUFA Ukiota umekufa kisha ukafufuka utafanya madhambi na utamuomba mungu msamaha kabla ya kifo chako. Au utafanya mabaya mengi ila utakuja kujutia kwa kile ulichokifanya. Pia uashiria biahara kesi ama jambo lilnalokukabilia litakusukumbua sana ila mwishowe utamaliza kwa usalama. Pia kuota kufufua yaani ulikufa kisha ukafafuka na kuwa hai kama muotaji yupo katika hali ngumu kimaisha ama maombi ya jambo fulani ni ishara ya kuwa utaondokana na ufukara au kurejea mtu aliyekwenda mbali hapa zaidi yatizamwa mazingira ya ndoto na masaa aliyootoa muotaji na hali aliyokuwanayo wakati huo. ukiota umezikwa Ishara ya kuishi muda mfupi na utakuf

TAFSIRI YA NDOTO ZA NG'OMBE

Image
KARIBU katika muendelezo wa darasa za tafsiri za ndoto zetu. Leo nitaongelea ndoto za ng'ombe yaani umelala kisha ukaota jambo linalomshitikisha ng'ombe katika ndoto hiyo tufahamu tafsiri yake. Ng'ombe husimama kama adui wa kichawi au uchawi kamili lakini pia huashiria mashetani ya ukoo au maadui wa ukoo. Lakini pia ngombe hutafsiri bahati yategemea muotaji na mazingira aliyoota mfano mtoto wa kike msichana amabaye hajaolewa akiota ng'ombe tu hamfanyi kitu ni ishara ya milango ya ndoa kufunguka bimaana atapata nusra. Akiwa mwanamke aliyeolewa akaota km hvyo juu ni ishara ya kupata msaada kwa mtu asiyemtarajia ikiwa mwanamke aliyezaa akaota kama hvyo ni ishara njema ya afya kwake na uzawa wake. Ikiwa utaota ng'ombe wametulia wanakula nyasi bustanini au shambani ina tafsiri aman katika familia ukoo kama kuna mtu umehitilafiana nae basi amani itapatikana na kama una kesi utashinda ila upambane pia inatfsiri kutoa kitu ili upate ushind kitu haina maana ni rushwa ni tafs

TABIA ZA NYOTA ZINAZOENDANA KATIKA MAPENZ

Image
PAMOJA na darasa zote ninazotoa kuhusiana na masuala ya Nyota. Kutambua nyota yako tabia zake siku nzur na mbaya biahsra gan ufanye nani ushirikiane nae lakini bado nmekuwa nikiandamwa na maswali ya namna hii kwa ili nifanikiwe niwe na nani sasa soma hii makala kwa utulivu itajifunza kitu hapa darasa hizi zinaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ. Hapa sitaongea ufafanuzi wa nyota kama mpaka leo bado hujajua group lako ukimaliza kusoma makala haya shuka makala za chini nmeshaeleza kwa uref kila kitu. Kuna tofaut kati ya mashirikiano na ndoa, lazima tujue hili mapema kun masuala ya kibiahsra masuala ya mapenzi na ndoa yenyewe ikiwa unataka kuingia kwenye ndoa basi ni lazima upitia hizi hatua nitakazoziweka hapa. Kwanza Nyota zenyewe zipo kumi na mbili kuanzia kwa Punda nyota ya Kwnza mpaka Nyota ya Samaki 12. Hizi Nyota zimegawanyika katika makundi makuu manne. Ambayo ni MOTO, MAJI, UPEPO, UDONDO. Makundi haya tunayaita tabia za Nyota hapa ndipo unapopata mtu wa kushirkiana nae wala halihitaj

UCHAWI WA KUFUNGA HEDHI, UZAZI NA KUZIMISHA UUME DALILI NA MADHARA YAKE NA TIBA YA UZAZI

Image
TANGU mwanzo mwa juma hili nmekuwa nikiongelea kuhusiana na masuala ya uchawi. Nmefafanua jinsi unavyoweza kuingizwa, unavyoweza kutegwa, kurogwa na nikaweka baadhi ya njia za kujinasua. Napenda kuwakumbusha tena kuwa kinga ni muhimu kuliko tiba, pili usipende kufuatilia habar za kuwaona jishughulisha na amali zako kuziweka sawa ili zilete matunda. Watu wengi wanauliza nawezaje kuwaona wachawi ni hatari zaidi ya unavyofikiria. Unaweza kujikupa ukawa kipofu au kiziwi au mlemavu au kutolewa kabisa kafara kwa kujua siri za watu. Hivyo ushaur wale wanaotaka kuwaona wachawi wajitahd kwanza kuahughulikia miili yako kwelikweli ndipo uingie habar za kuwaona hao watu vinginevyo utatafuta vita ambayo hutaiweza kuikabili. Pili maswali na matakwa mengi yamekuja wengi wakiulizia kuhusiana na masula ya kupata mali. Napenda kujibu kwa wote mimi sihusian na masula ya mali za majini najua madhara yake makubwa kuliko faida. Ukihtaji tutengene kazi, biahsra yako upate mvuto wateja ninaweza ni

NUNGUNUNGU FAIDA ZAKE NA ANAVYOTUMIKA KATIKA MATIBABU YA ASILI

Image
KATIKA tiba leo tutamzungumzia mnyama anayetambulika kwa jina la Nungunungu. Kuna mti unaitwa mnungunungu lakini pia kuna mnyama anaitwa nungunungu anaishi porini ana asili ya kuzungukwa na miiba kwenye kiwiliwili chake. Mnyama huyu anatumia miiba yake kama silaha ya kupambana na adui wakati akishambuliwa hurusha ile miiba yake kumchoma adui. Leo tutaangalia faida na matumizi yake katika matibabu ya asili. Ni nadra sana kukutana na mnyama huyu kutokana na aina yake ya maisha jinsi anavyotafuta chakuka chake hukaa sana vichakani. Asili hiyo huifanya miiba yake kutumika kwenye kinga dhidi ya maadui na wachawi. Ikiwa utapata viingira 'madawa ya kinga' vya kinga ya nyumba ukatumia na unga wa mwiba wa mnyama huyu ikiwa mwanga atanasa basi atakuwa anachomwachomwa mwilini mwake basi utamkuta akihangaika asubu nyumban kwako. Hii ni shughuli ya kitaalam zaid. Mwiba wa nungunungu umsaidia mtu  anayetokwa na damu  puani basi choma mwiba alaf ajifukize mgonjwa kisha atumie  na

KUJIIMARISHA KINYOTA MVUTO WA CHUMO LA AMALI ZAKO

Image
KILA mmoja anazo shughuli zake za kujitafutia ridhki ili kuyaendesha maisha yake. Zipo shughuli za heri na shari ila si wote wanaofanya shari hupenda wakati mwingine ni majukuku kuwabana na hakuna njia nyengine ya kuyatatua. Si hamasihi watu kufanya shughuli mbaya nipo katika kukuelewesha namna ya kuupata unafuu katika mihangaiko yako. Nmekuwa nikiulzwa sana baadh ya maneneo ninayotumia kuna watu huwachanganya ila hiki ninachoandika ni kiswahili sanifu alhamdulillah nmekaa na wazee pia nmesoma sana kiswahl elimu ya dunia. Hapo juu neno chumo maana yake ni kipato au fedha unayoipata baada ya kufanya kazi amali ni shughuli yoyote unyoifanya ili kupata hicho kipato sasa kuna amali njema na mbaya kama nilivyoeleza hapo. Kabla ya kuendelea nataka niweke sawa ikiwa una mikwamo mambo hayaend unahs na kuona kabisa sio kawaida kwanza yatakiwa iangaliwe tatzo na chanzo chake ikiwa ni vifungo husda upepo mchafu majini nk vishughulikiwe kwwnza ndio uifanye kaz nitakayoieleza hapa chini