Posts

DAWA ZA WATOTO TIBA YA MTOTO ANAYELIA USIKU

Image
DAWA ZA WATOTO TIBA YA MTOTO ANAYELIA USIKU MARA nyingi watoto hulia usiku kutokana na sababu kadhaa, hapa nawaongelea watoto wa changa. Sababu za watoto kulia kupigiliza maana kunabkulia kawaida na kulia kupitiliza, mtoto asipolia kabisa pia ni tatizo na akilia kupitiliza pia ni tatizo. Sababu za mtoto kulia kwanza hutokana na njaa hivyo ukimpa nyonyo hunyamaza, pili  ni hofu na mara nyingi mtoto mwenye hofu akilia ukimpa nyonyo unyonya kidogo kisha huacha pale anakua amepata faraja. Lakini wakat mwingine huhitaji uwepo wa mzazi wake hivyo hulia akihisi yumpweke anapopakatwa hunyamaza. Lakini pia kuna sababu za watu wa baya ambao huja usiku kwa kuwa mtoto ana uwezo wa kuona huwa wanamtisha hivyo hulia na hanyamazi hata umpe nini, kingine mzazi anaweza akawa na jini baya pia laweza mtisha mtoto usiku asilale akawa analia kingine nyumba yaweza ikawa si nzuri mnayoishi na sababu nyingine nyingi.  Ili asiwe analia Chukua halititi,ambali,miat sail na karful mait chanaganya pamoja tia kweny

FAHAMU KUHUSU KIBATALI NA MATUMIZI YAKE KATIKA KUREJESHA MAPENZI

Image
FAHAMU KUHUSU KIBATALI NA MATUMIZI YAKE KUMREJESHA MUME MKE ALIYEKUKIMBIA NAPOKEA maswali mengi kuhusiana na mambo ya mapenzi kifupi, hii ni taaluma za watu km zlvyo taaluma zingine unapaswa uheshimu. Ni vyema ukapata usimamiz wa mtaalam aliye karbu nawe wakati unafanya zoez hili Kuna vtu vyakuelekeza na kuna vtu ww huwez vfanya bila usimamizi wa mtaalam. Na ucnitafute kwenye simu ukiwa una mashaka jiridhishe kwanza ndo unitafute. Leo nawapa kwa ufupi uchawi wa kutumia kibatari katika kuita mtu aliyekuacha. Nitaeleza kwa ufupi vile vinavyoelezeka kwenye utaalam zaidi nitakushauri wapi ufike jitahd kusoma kwa umakini sana na upole. Mahitaji Kibatali kipya Sanda iliyosalia (inatakiwa sanda iliyobakia wakati wakushona na sio mpya) maji ya bahari Mafuta ya taa Uvumba Kitambaa cheusi Kazi hii ufanyike sk ya ijumaa kuanzia saa cta uck au kama utaifanya siku za kawaida ikiwa ni mwanaume ndio unafanya basi hakikisha unaipata saa ya zuhura siku unayotaka kufanya. Ikiwa mfanyaji ni mwanamke anam

FAHAMU MAAJABU YA KUFULI KATIKA KUREJESHA NA KUDHIBITI MPENZI, KUMFUNGA MTU NYOTA NA KUMFUNGUA

Image
FAHAMU MAAJABU YA KUFULI KATIKA UWANJA WA TIBA ASILI UCHAWI WA ZAMANI SEHEMU 1 UCHAWI huu hutumika sana bara Asia na inaaminika ni moja kati ya tiba zenye kuleta matokeo makubwa zaid. Kuna nchi nyingi baada ya ndoa tu wahusika hutumia dawa kutengeneza na kufuli ili wasiachane maisha yao yote. Kufyli huweza kumdhibiti mtu, huweza kumfunga mtu nyota yake, huweza kumfungua mtu vifungo huweza kumsafirishia mtu nk. Leo nitagusia mambo machache yanayoweza kufanywa na kifuli ila kwa urefu tutaweka makala kwenye group la whatsap kutokana hatuwez kuanika kila ktu hadharani na group la whatsap ni la kulipia. Kumfunga mtu  Ukiangalia picha hapo juu ni kufuli iliyotumika kumfunga mtu yaani kmfungia mambo yake kwenye milango ya fedha mapenzi nk utengenezaji wake inatumika athari yake aidha nyuzi ya nguo au nywele unyao au mchanga wa kivuli chake  Hutengenezwa kwa tarasimu maalumu na viingita vyake kisha inafungwa ile kufuli na kutupwa au kuhifadhiwa sehemu basi aliyefanyiwa haya atapata

KIFUNGO CHA MIMBA KUCHELEWA KUJIFUNGUA

Image
KIFUNGO CHA MIMBA KUCHELEWA KUJIFUNGUA WAKATI wa ujauzito kuna maradhi na mambo mengi mpaka mtu kujifingua salama leo naongelea kifungo. kuna vifungo vingi kama vile ridhki mapenzi kazi nyota nk vyote vina tiba zake fka kwa wataalam karibu nawe wakuchunguze kwanza au njoo ofcn Tanga hapa naongelea kifungo cha mimba. wakati mjamzito anapojisikia uchungu na akienda hospitali mtoto hatoki, uchungu kukata  au kupitisha miezi ile ya kujifungua hiki ndicho nakiongelea hapa. ikifikia hatua hiyo mmoja wa wauguzi awahi kwa wataalam akaangalie kuna kp kinachosababisha na nn kifanyike kumnusuru mzazi. Wakat mwingine madhara yaje husababisha upareshen hata kumkosa mzazi au mtoto. siku za nyuma niliwahi kuongelea mlangamia au mfunganga utachemsha kamba zake utampa mgonjwa kwa kikonge cha plastic kisha atakichia kwa kukidondosha  njia ya pili waweza tafuta mzizi wa mti wa mfunguo pia ukamchemshi mgonjwa akanywa wakati anaposikia uchungu pia kuna makombe ya kuoga na kunywa kwa ufunguzi ma

NDOTO ZINASHOARIA UCHAWI, KUROGWA NA KUCHUKULIWA MSUKURE

Image
NDOTO ZINAZOASHIRIA UCHAWI, KUROGWA, MSUKULE  KUna ndoto ukiota inaashiria wewe muotaji umerogwa au unataka kuingizwa kwenye chama cha wanga au unataka kutolewa msukule kuwa makini katika usomaji. Kuna hatua kama nne kuu za mtu kuingizwa kwwnye wanga hizi nitazizungumza siku nyengine mungu akitupa uhai leo tuangalie hizi ndoto na tafsiri yake. Ukiota nyoka mweusi amekuingia mwilini kwa aina yoyote ile iwe kapitia miguun kichwani mkononi tumboni ni ishara ya kuingiwa na jini wa kichawi ambao ametumwa na wachawi. Ukiota unakula nyama na ndoto zikawa zajirudia mara kwa mara ni ishara ya kulishwa vitu vibaya na wachawi usiku sasa aidha wanakulisha kwa kukudhuru au wanataka kukuingiza chamani. Hapa hata ukiamka asubuhi msomo huhisi kweli ulikula kitu usiku. Kuota unaingiliwa kimwili mara nyingi waenda usiku anaweza akakutongoza mchana ukakamtalia basi huja kukuadhibu usiku utaota unaingiliwa na mtu tena kwa fujo na ukiamka hujikuta umechoka  na umechafuka na wakati mwingine huku

MIZIZI YA MLAZALAZA LUFYAMBO KATIKA DAWA ZA MAPENZI

Image
MLAZALAZA LUFYAMBO  KATIKA MAPENZI MTI unaouona pichani nishauzungumzia mara kadhaa kwenye makala zilizopita leo nitazungumzia mizizi yake katika mapenzi Hapa ni mpenzi bimaana mke mume au mtu unayejamiiana nae fuata taratibu zifuatazo Amka asubuhi ukiwa msafi bimaana kama umelala na mwenzio basi ujitwayarishe  vzuri usiwe na janaba hedhi wala nifasi Elekea eneo lenye mti huo pichani ukifika gonga hodi sema wewe mlazalaza nmekuja kumlaza fulani bin fulan au fulan bint fulan utachuma majani na kung'oa mizizi kadhaa huku ukiendelea kunuia Ukimaliza rudi nyumbani kwako twanga vyote kwa pamoja tia mafuta zaituni kidogo kisha kama n mwanaume pakaa kwenye kichwa cha uume kama mwanamke paka kwenye kinena na mlango wa uke acha mpaka ikauke Nenda kaingiliane nae hakika utamlaza kweli na atakupenda mpaka utamchoka Ukitaka akihadithie mambo anayoyafanya kUKna tarasimu utamuwekea kwenye mto wake wakati ukimfanyia hivyo atakuhadithia kila kitu usiku mkiwa katika tendo kw

FAHAMU KUHUSU MLUFYAMBO MLAZAZA TIBA NA DAWA KWA WATOTO NA KINAMAMA

Image
FAHAMU KUHUSU MLAZALAZA' LUFYAMBO MTI huu huoatikana kwa wingi ukanda wa pwani hasa maeneo ya mapori na makaburi. Mti huu una sifa ya kutambaa na kutoa mbegu zenye rangi mbili nyekundu na nyeusi. Mti huu ni dawa kubwa sana katika matibabu ya asili na uganga wa jadi. Leo nitagusia vitu vikubwa vina vyoweza kufanywa na mti huu, kwa chochote usifanye kwa kujaribu tiba ni imani. Majani yake ni tiba kubwa ya kifua na pumu  Mtu anaweza kupata pumu iwapo atakuwa anakaa karibu na moshi  au wakati mwingine anaweza kurithi kutoka kwa mmoja wa wazazi au ndugu  wa damu aliyewahi kukumbwa na maradhi hayo. Namna ya kutumia: Chukua majani mabichi ya mmea huu yenye uzito wa nusu kilo, yatwange au yasage kwenye mashine  ya juisi ili kupata juisi. Juisi hiyo changanya na mayai matatu ya kuku  wa asili, asali vijiko vitano vya chakula na limau mbili au tatu itategemeana na ukubwa wake, changanya vizuri mchanganyiko huo. Kunywa nusu glasi kutwa mara  mbili (asubuhi na jioni), muda wa siku

MFAHAMU JINI MAHABA ANAVYOINGIA DALILI MADHARA NA MATIBABU YAKE

Image
MFAHAMU JINI MAHABA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU YAMEJAA MITIHANI MINGI INAYOPELEKEA MWANADAMU KUPATA MITIHANI YA KIMAISHA, KIMAUMBILE NA KIAFYA. KATIKA VITU AMBAVYO VINAWATESA WATU WENGI WALIOPO NA WASIOPO KWENYE NDOA, WAUME KWA WANAWAKE NI JINI MAHABA. JINI MAHABA SHEYTWANI ANAYEMJIA MWANADAMU KWA LENGO LA KUFANYA NAE UCHAFU WA ZINAA  WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA JINI HUYU MPAKA KUSABABISHA KUVUNJIKA KWA NDOA. MTU KUCHUKIA WATU WA JINSIA NYENGINE. KUINGILIWA NA NUKSI NA MAMBO MENGINE.  VIPI JINI HUYU ANAWEZA KUWAINGIA WATU  1.Wanaopenda kulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto 2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi} 3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama wakiwa uchi 4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua  5.kutupiwa na wachawI 6. kuingia chooni bila dua  hivyo anaeingia bila ya dua anaweza kukum

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI

Image
Faida za mtunguja, mtura. Mti huu unaingia miongoni mwa miti midogo duniani ambayo inafaida kubwa katika afya ya mwadamu. Na mti huu si sumu kama inavyopotoshwa na wengi Kwa ufupi mtu huu unafaida, kiafya, kiurembo na masuala ya mapenzi. Kwenye mapenzi dawa za mapenzi masomo yanatolewa whatsap group. Leo tutazungumzia kwenye afya na biashara na kukinga wachawi Maradhi ya kuumwa meno Km jino limetoboka chukua mzizi wa mti wa mtura mkavu chemsha na chumvi kisha nyunyuzia kwenye shimo Km halijatoboka sukutua Mara tatu kwa siku. Kwa watoto wadogo wa kiume wenye ugonjwa wa ngiri kende kusinyaa. Chukua mizizi ya mti huu na mzizi wa mpapai dume itimie saba Chemsha mpe anywe kutwa Mara mbl kwa ck saba Kwa wakubwa Hii inatuliza tu maumivu kutokana mdudu kukomaa ukhtaj dawa nione. Maumivu ya hedhi Chukua unga wa tunda zake kijiko kimoja weka kwenye glass ya maziwa ni dawa mujarabu kwa kunywa. Tumia mpaka maumivu yakate. Kwa matatizo ya uzazi Hutumika mizizi ya mti huu mti wa mzalia nyuma mti wa

UGONJWA WA PID CHANZO DALILI , MADHARA NA SUKUHU YAKE

Image
UFAHAMU UGONJWA WA PID KWA WANAWAKE DALILI MADHARA NA SULUHU. BAADA yakupokea maswali mengi kutokana kwa kina mama kuhusiana na maradhi haya ya PID leo nimeamua kutolea ufafanuzi. Nimepokea simu nyingi na jumbe kupitia whatsap baada ya kuandika ile makala inayohusiana na madhara ya njia za uzazi wa kisasa. PID ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke kama vile, mfuko wa uzazi, mirija ya mayai, vifuko vya mayai, shingo ya kizazi.                 VISABABISHI VYAKE Ugonjwa huu kwa kawaida husababishwa na maambukizi kwa njia ya kujamiiana, na mara nyingi hata magonjwa yanayohusiana na kujamiana huusishwa kama kama vile Pangusa ,UTI, Fangasi, Kisonono, nk. Pia utoaji mimba usiosalama, kuharibika mimba, au kujifungua kwa njia zisizo salama na kuweka vitu ndan ya uke kama vizuizi vya mimba pia huchangia maradhi haya. DALILI ZAKE Dalili za ugonjwa huu huwa kama ifuatavyo: • Maumivu katika tumbo la chini na sehemu za nyonga. • Kutokwa na uchafu mwingi wenye h

FAHAMU FAIDA ZA MUEGEA

Image
FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA MTI WA MUINGE AU MUEGEA KATIKA TIBA MTI huu una majina mengi wengine huita muegea, muinge  mlemela. Leo nitawapa faida kiafya wanaohtaj habar za kukuza nitawapa dawa. KWA AFYA KWA UJUMLA UUnatibu Tumbo Kujaa Gesi Kujisaidia Milendalenda Vidonda Vya Tumbo Kunawirisha Mwili Kwa Wale Wenye Afaya Mgogoro ukurutu na magonjwa mengine ya ngozi. Jinsi ya kutumia Kupata faida hizo kwa kutumia mizizi ya mti huo, chukua mizizi au magome yake na uyakaushe kivulini (sio juani), baada ya kukauka, saga magome hayo ili upate unga. Chota unga huo kiasi cha gramu 700 (karibu na robo tatu kilo), changanya na maji kiasi cha lita 6. Mwenye tatizo anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa kiasi cha robo lita kila siku Hifadhi kwenye fliji ili isiharibike ukhtaj kutumia waipasha moto kidogo. kukausha vidonda chukua unga huo hunyunyuziwa katika nguo au kitambaa na kisha nguo au kitambaa hicho hufungwa katika kidonda au jereha na baada ya siku kadhaa jeraha hilo hukauka. KWA MARADH

KUFARAKANISHA AU KUTENGANISHA WATU

Image
KUFARAKANISHA AU KUGOMBANISHA MARA KADHAA nimepokea malalamiko watu wanachukuliwa waume zao wake zao au wanachukiwa na watu ofisin ambao wanajifanya wapo katibu na mabosi. sasa kufarakanisha au kuyengenisha fuata maelezo kwa makini ukishindwa ndo unitafute.  hii inahusiana na mafusho sambamba na kafara la faraqa mafusho yake ni haya 1. Sandal nyekundu, 2. Haltiti, 3. washqu (uwatu) 4. Miatsaila 5. maganda ya karanga. 6. magadi 7. ugoro 8.shubili Unachoma mafusho hayo muda zohari FUSHA KWA CKU TATU HUKU UKINUIA HITAJ LAKO UKIMALIZA FANYA HIVI Mahtaji Chungu kipya Kuku kinyavu Yule mwenye manyoya yalosimama Mahindi Makapeni nyeusi Jiko na mkaa Andika majina ya unaowataka wagombane ndani ya chungu kwa kuzipa nafasi hzo heruf yaan kwa kuzipishanisha utaandika na tarasimu yake Ukimaliza mchinje Yule kuku damu ikimiminikia kwenye chungu Bandika hicho chungu kwenye moto uwe mkali hakikisha damu ikauke Weka mahindi koroga huku ukiwa unanuwiya unachotka na uweke tageti ya ck yaan natak