Posts

TALASIMU YAKUKIDHI HAJA KUPATA KITU UNACHOKITAKA KWA WAKATI

Image
HUU NI WAQFU WA KILA KITU UNACHOKITAKA NA UKAKIPATA KWA WAKATI TARASIMU hii ni ya kukupa kile unachokitaka kwa wakati. Mfano unataka ndoa, au unataka kukopa pahala, au unataka ulipwe madeni yako chochote kile kasoro shughuli za mapenzi yaana kuvuta na kirejsha. Hii utaiandika siku ya ijumaa kama ni mwanaume angalia saa ya shamsi, kama ni mwanamke iandikwe wakati wa zuhra kwa zafarani nyekundu. Kisha upate kitambaa cha kijan cha hariri ikishaandikwa ipuliziwe udi au mafusho yanayoendana na nyota yako. Chini ya tarasimu hii itaandikwa dhumuni kama unataka ndoa itaandikwa dua au waqf wa ndoa kwa jina muhuiska mtakaji, ikiwa ni ridhi pia itaandikwa dua za kufungua ridhk kwa jina la mtakaji ikiwa ni kukopa kulipwa pia itaandikwa dua ya kutaka kitu kupata kwa wepes zipo kwenye vitabu vya muongozo. Ukishamliza utaiweka kwenye walet yako na utatembea nayo ikiwa mfuko wa kulia. Au niuzuri kama utaivaa mkono wako wa kulia hii ndani ya wiki utapata majibu kwa kile ulichokikusudia. Mwm

NDOTO ZA NDOA KUOA, KUOLEWA NDOTONI TAFSIRI NA MAANA ZAKE.

Image
NDOTO za harusi bimaana kuoa ama kuolewa zimetawaliwa na jini mahaba kwa silimia kubwa, lakini si kila ndoto ya ndoa inahusiana na jini mahaba yategemea na mazingira ya muotaji yalivyo. Ili ithibiti kama una jini mahaba yatakiwa aungaliwe kiundan ila dalili zaidi ni kuota unazaa mara kwa mara, kuota una mimba, unanyonyesha unafanya tendo la ndoa na ukajisikia raha zaid kuliko hata huyo unayeishi nae hizi ni baadh ya daliki zake na dawa yake ni kutolewa. Upande mwingine ndoto hizi zinawakilisha uaminifu kwa Mungu, vilevile ni ishara ya Jela, Madeni, kupata Huzuni, misiba, kuchanganyikiwa, kupata majukumu, nia ya kufanya mambo makubwa au kupata nafasi kubwa hapa yategemea na mazingira ya ndoto lakini pia mazingira ya muotaji. Ikiwa upo kwenye ndoa na umeota umeolewa tena kuna ishara ya migogoro na ndoa huwenda ikavunjika ikiwa hamjatafuta suluhu mapema hii ukiota unaolewa na mumeo tena haliyakuwa mpo ndoan au unaoa mkeo tena. Ukiota umefunga ndoa na mtu usiyemfahamu na hukumu

VIFUNGO NUSKI ZA KUJITIA MWENYEWE BILA KUJUA ALAF UKATAFUTA MCHAWI EPUKA MAMBO HAYA

Image
SIKU kadhaa zilizipita niliwahi kuongelea kuhusiana na madhara yampasayo mtu ambaye haogi janaba hedhi na nifasi. Niliorodhesha madhara yake na pia nikaweka muongozo jinsi ya kuoga na kujitwayarisha. Darasa zangu huwa hazimuachi mtu njia panda ukisoma unapata ufahamu na ufumbuzi moja kwa moja darasa hiI zinaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ. Mbali na makala hiyo pia niliweka makala ya kwanini unakoshwa unashughulikiwa lakini mambo kwakao hayakai sawa unakoshwa hata mara kumi lakini hakuana afuen jaribu kuitafuta hiyo makala usome utaongeza kitu kwenye ubongo wako lakini pia utapata point ya kuanzia kwenye kutafuta suluhu ya jambo lako. Kwa ufup madawa ya kuoga ni mengi sana siku hz kila mtu anatoa dawa sijui oga iki changanya na hiki kwanza uganga ni karama na kipaji kutoka kwa allah kitu kinachofanya kazi ni kile atakachokupa mwenyewe huyu mtaalam. Pili nuski ina vyanzo vyake sasa chakutibua ni chanzo na si kukosha mwili kwanza tibia chanzo ndo ushughulike na mwili. Leo nita

FAHAMU KUHUSU AMBARI FAIDA NA MATUMIZI YAKE

Image
AMBARI ni kitu kinachotoka katika matumbo ya samaki adimu aina ya NYANGUMI. Chenye maajabu mengi na kina gharama kubwa sana. Lakini pamoja na gharama zake pia kinafaida kubwa kuliko gharama Ambari imegawanyika katika makundi mawili kuna ambari nyeupe na ambari nyeusi zotezina kazi zake. katika kuzijua faida za AMBARI. 1):ukiiweka katika nyumba yako nyumba hiyo itakua na furaha muda wote na kheri nyingi zitapatikana nyumbani hapo na inafukuza majini wachafu na wanga na wachawi hawatakua na uwezo wa kuwachezea wala kuingia katika nyumba iyo. 2):ukiiweka katika biashara inavuta wateja na baraka zinazidi ktk biashara na inazuia majini wezi wa pesa na chumaulete. 3):ukiitaji umaarufu kuwika kutamba kujulikana kutingisha ..jifukize ambari usiku kwa siku 21 mfurulizo . 4):utajili ambari inavuta utajili kwa haraka mno .loweka ambari kwenye maji lita saba na sarafu nyeupe49 oga alfajili lita moja moja kwa siku saba na utoe sarafu saba kila siku ukatoe sadaka kwa masikini au watoto y

FAHAMU KUHUSU AMBARI INAVYOLETA MVUTO WA BIASHARA NA UTAJIRI

Image
NILIWAHI kuongelea kuhusiana na ambar na makala yangu ikakopiwa na waganga wengi wa mjini ila kubwa ninalowahusia kuweni makini katika utafutaji wa matatuzi ya shida zenu hasa wale wanaotafuta mali. niliweka makala inayohusiana na ambari. Na nikafafanua ambari ni nini na inatoka wapina nikaeleza faida zake  Pili wengi waliuziwa ambari isiyo yenyewe orijino hvyo ikawa ngumu kupata matokeo yale niliyoyaandika. Nawashaur tena somen mpaka mwisho. Leo nitaongelea kwa uchache kuhusu ambari nyeupe. Sasa hii ndo baba wa ambari na bei yake ndiyo juu kuliko ambar zote maana ambari nyeusi imeagawanyika katika mafungu mengi. Kwa kuvuta bahati ya biashara na mwili Chuukua ambari nyeupe ya mascut changanya na unga wa hardal, mringaringa  ,mpapatiko na mwita hv vnapstkana maduka dawa asili Zitwange ziwe unga kisha zigawe mafungu mawili fungu la kwanza pia utaligawa mara mbili moja utawekakwenye mafuta ya nazi yaliyoacahanganywa na karafuu fungu jingine utakuwa unaweka kwenye maji ya kuoga

FAHAMU KUHUSU TEMBO TIBA KWA WATOTO NA WAMAMA NA KUKUZA DHAKAR

Image
Tembo ni mnyama mkubwa mbugani, kwa ukubwa wake hata kwenye tiba pia anakuwa na mambo makubwa. Ukitaka uwe mkubwa katika eneo lako aidha biashara kazini eneo la michezo nk kuna vitu vya tembo hutumika kutengeneza hyo dawa njoo ofisini utapatiwa Kwa ujumla tembo ana faida nyingi. Nilishawahi kuongelea mafuta yake katika ukuzaji wa dhakari kama imekupita makala haya soma makala ya nne hapo chini kwenye ukurasa wangu nimefafanua kwa upana. Mafuta yake pia huweza kutatua tatizo la watoto waliopinda viungo wakati wa kuzaliwa ama waliovunjika huchanganywa na aina saba nyengine ya mafuta huchuliwa mtoto hii ni kwa watoto  Sasa leo ntafafanua kuhusu mavi yake tembo akishakunywa yale mavi yakikauka ni dawa nzuri kama ninavyofafanua mavi yake kwa degedege Chukua  mvuje, mavi  ya Tembo, Majani ya vitunguu saumu yaliyomenywa na watu wengi ukipata ya shughulini ni vizuri zaidi. Mfushe kwa siku tatu mfululizo mara mbili kwa siku mtoto atakaa sawa Mtoto anayelia usiku au anastuka akiwa us

SIRI NA MATUMIZI YA CHUMVI YA MAWE YA BAHARINI SEHEMU YA TATU

Image
HERI ya siku mpya mpenzi mfuatiliaji wa dondoo za afya na jinsi ya kujitibu kupitia dawa za asili na kisunna. Hii ni makala ya pili ya muendelezo wa faida zipatikanazo kwa kutumia chumvi ya mawe. Km ulipitwa pitia ukurasa wangu. Niliongelea faida mbili mapenzi na kukidhi haja leo nitaendelea na faida nyingine. Kwa ujumla chumvi ina faida nyingi sana hasa kwenye ulimwengu wa tiba kama nlvyogusa kwenye makala iliyopita halipigwi kafara bila chumvi ya mawe haisomwi albadiri bila hii kitu. MATUMIZI KATIKA ENEO LA BIASHARA Watakiwa upate maji ya kisima cha wazi lita tano chumvi kilo moja utaroweka kwa masaa saba kisha utayatumia hayo maji kupigia deki eneo la biashara hii inaendana na yale ya bahar kama nilivyoeleza kweny ile makala ya mvuto wa biashara. Pili utatfuta muita mfunguo muharaka mripu mvuma nyuki na unga wa majani ya mkomamanga utachoma eneo la biashara kwa manuizi. Hivyo vtu vnapatikana maduka ya dawa za asili popote ulipo mkoma manga unaptikana majumbani.  MATUMIZ

NDOTO ZA VITA KUPAMBANA KUSHINDWA TAFSIRI NA MAANA ZAKE

Image
TUNAENDELEA na darassa za tafsr za ndoto katika ukurasa huu wa Mtabibu ASILI TZ. Leo tunaangalia tafsri ya ndoto za vita. Hapa namjumuisaha ukiota upo vitani au uksshinda ukashindwa kuona watu wwnapambana na tafsiri zake. Vita imegawanyika katika makundi mawili kuna bdoto za majini na ndoto zinazoashiria uadui. Pia yategemea na mazingira ya muotaji na mazingira ya ndoto. Mfano kama ni Askari au Mwanajesh ni kawaida kuota upo vitan au kupambana na watu kutokana na asili ya kazi yako. Ikiwa unaota upo vitani mara kwa mara unapambana kisha maisha ya kawaida ukawa unapenda sana ugomvi mtu wa hasira sana ni dalili za jini MAKATA. Moja ya dalili nyengine za jini huyu ni kuhisi kuungua kwenye nyayo, uke/uume, tumbo, kichwa na sehemu zingine za mwili. Wasiwasi wa moyo na kujiona kama unafariki wakati wowote. kuishiwa na damu mara kwa mara bila sababu za kimsingi na za kisayansi. Wakati mwingine kutokwa na vipele venye kutoa harufu mbaya vinapopasuka na unaeza ukawa na dalili zote z

KISENYA KUNI, KUMBA NYASI ANAVYOTUMIKA KWENYE SHIDA MBALIMBALI KWW TIBA ASILI

Image
HUWENDA usifahamu jina lake kati ya haya niliyotaja. Pia huwenda kilugha chenu au eneo mnaloish mnafahamu kwa jina jengine tifaut lakin picha itoshe kukuonesha na kufahamu kuwa tunaongelea mdudu wa aina hii. Anaitwa kisenya Kuni au Kumba Nyasi na majina mengine mengi. Mdudu huyu anatabia ya kujijengea kijumba chake kisha huishi ndani ya hicho kijumba. Wapo wanaotengeneza kwa kutumia nyasi, pia wapo wanaotumia vimiti kutengenezea nyumba zao. Moja ya tabia zao wanauwezo wakukaa ndani ya jumba kwa muda mref na hutoka pale anapohitaji kitu maalum.  Huwa wanatembea na nyumba zao ikifika kipindi huziacha na kutengeneza nyumba mpya, kama unaish shamba ulishawah kukutana nyumba tupu ya mdudu huyu basi ujue ameamua kutengeneza mpya au ameuawa alipotoka. kama utamkanyaga mdudu huyu kwambahat mbaya bimaana bila ya kumuona unapotea uendapo na unaweza ukaipita nyumba yako hata mara tano pasina kuijiua. hadi atokee mtu akustue au ubadilishe nguo nje ndani. Mdudu huyu ana faida nyingi san

BALAA NA MATUMIZI YA AMBARI NYEUSI KATIKA ULIMWENGU WA KIZA

Image
NILIWAHI kuzungumza ambari kwa ujumla, pia nikaweka darassa linalohusu ambari nyeupe. Nilifafanua faida zake na matumizi yake katika tiba mvuto wa biashara na kulinda mali ikiwa ulipitwa pekua post zilizopita. Nilipokea oda nyingi za ambar waliopata walishukuru lakini pia nilipokea malalamiko kuwa ambar walizonunua madukan nyingi hazikuleta majibu yale niliyoyasema. Kwenye ile makala nilieleza kuwa ambar yenyewe halisi huwez ipata kwa bei rahisi, sasa mtu kauziwa ambar elf tano, elf 30 au elf 50 hiyo automatic ni fake. Pia wapo wanauza ambar bei ghali lakini pia sio halisi cha muhimu ni kuwa na makini fika kwa watu wanaoaminika katika maeneo unayoishi ambao unajua watakusaiaidia kiwepesi. Sina maana kwamba madukan hakuna ambar halisi lahasha. Leo tuangalie ambari nyeusi, hii imegawanyika katika mafungu mengi lakini hapa nitaeleza kwa ujumla baadhi ya matumizi ya ambari nyeusi. Hii hutumika sana katika shughuli za kupiga vitu na kuondoa vtu vigumu. Hii ikiwekwa kwenye kuroge

KWANINI HUFANIKIWI MAJAMBO YAKO NA USHASHUGHULIKA SANA, FAHAMU UNAPOKWAMA

Image
WATAALAM wengi hukupa dawa kutokana na maelezo yako hasa wataalama wa mjini hawasumbui vichwa kujua tatizo. Pia wengi wao ni watu wakunakilinakala za wngine na kuweka kwenye page zao yaani copy and paste. Nuksi inajulikana kwa maelezo tu mtu akijieleza wajua hii ni nuksi sasa kinachotakiwa ni kujua chanzo cha nuksi na utibie chanzo. Katika mambo yanayoweza kukwamishwa vitu visitimie vipo vingi na kila jambo lina matatuzi yake kitiba na mafanyo. Mfano kuna nuski, vifungo, nadhiri, husda, radhi, uchawi, jini mahaba, majini maiti pamoja na mambo mengine, hapa nmetaja kwa uchache lakini kuna mambo mengi sana yanayoweza kukukwamisha. Mfano ulikuwa huzai ukasema neno mimi ikotokea nimezaa nitachinja mbuzi na ukalirejea hilo neno mara kadhaa aidha ulipokuwa unatumia dawa au katika maombi ikitokea umezaa hujachinja mbuzi mawili wewe au mtoto mambo yake yatakwama hasa ni wewe mtia nia.  Sasa hili dawa yake si kukoshwa wala makafara tafuta mbuzi achinjwe utasema tu yale maneno uliyot

NDOTO ZINAZOASHIRIA KUWA UNA MAJINI WAZURI, WABAYA WAKICHAWI NA HATUA ZA KUCHUKUA

Image
UHALI gani mpenzi mfuatiliaji wa darasa zangu zinazohusiana na nyota, ndoto uchambuzi wa miti na mambo mengine ya kidunia. Leo nakultea tafsir ya ndoto zinazoashiria una majini yawe wema au wabaya  utajuaje katika ndoto na baadhi ya dalili zake anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Kwanza kuna ukoo una isimu ya majini ya uganga. Namaanisha kuna familia wana historia ya kuwa waganga kuna watu walipita kabla yako aidha uliwaona au uligadithiwa walikuwa waganga. Pia kuna isimu za koo nyenginr ni Uchawi na wengine wana isimu za usharifu sasa kila mmoja ana dalili zake katika ndoto. Lakini pia kuna majini ambayo yanatumwa kuja kusulubu watu aidha ulihombana na mtu au unaringa sana. Ukiota umeingiwa na kitu mwilini aidha nyoka simba au mnyama yoyote au upepo unekuvaa mwilini. Au unaweza ukaona kabisa umekaa pahala au unatembea ghafla kitu kikakuvaa kisha maumivu yakaanza mwilini. Mwili kukosa nguvu vitu kutembea kujihisi kichefuchefu unaweza pima hospital usiw