NDOTO ZA KUCHEKA, KULIA MAANA NA ISHARA ZAKE
TENDO la kucheka ndotoni huashiria furaha aipatayo muotaji. Wakati kulia ndotoni huashiria huzuni, kinacholeta picha halisi ya ndoto ni mazingira ya ndoto na hali ya muotaji wakati huo wa ndoto. Anayekuletea uchambuzi huu na ndoto siku ya leo Alhabib Mtabibu ASILI TZ. Mara nyingi ndoto huja kwa mazingira ya muotaji wakati huo. Mfano mwanamke anayetaka kuolewa aliyekuwa akisubiria ndoa kwa hamu ikafikia pahala keshatolewa kila kitu anasubiria ndoa tu huyu njozi zake zitakuwa za furaha wakat wote hata kucheka usingizini ni jambo la kawaida. Pia mfano mwengine mwanamme ambaye mipango yake haiend huyu kuota huzun kulia ni kawaida kwake, kuota unakimbizwa, upo shulen kwenye mambo ya kutia huzun, kuachwa na usafr ndoto za ajali ni hali ya kawaida kwake na kinachotakiwa ni kuwa makini na kile unachokiota kisha ukakifanyia kazi ikiwa kinahtaji ufumbuzi. Ukiota unacheka mwenyewe utapata furaha au taarifa itakayokupa furaha moyoni mwako. Ukiota watu wanacheka kuna taarifa ya utaletew