UGONJWA WA PID CHANZO DALILI , MADHARA NA SUKUHU YAKE
UFAHAMU UGONJWA WA PID KWA WANAWAKE DALILI MADHARA NA SULUHU. BAADA yakupokea maswali mengi kutokana kwa kina mama kuhusiana na maradhi haya ya PID leo nimeamua kutolea ufafanuzi. Nimepokea simu nyingi na jumbe kupitia whatsap baada ya kuandika ile makala inayohusiana na madhara ya njia za uzazi wa kisasa. PID ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke kama vile, mfuko wa uzazi, mirija ya mayai, vifuko vya mayai, shingo ya kizazi. VISABABISHI VYAKE Ugonjwa huu kwa kawaida husababishwa na maambukizi kwa njia ya kujamiiana, na mara nyingi hata magonjwa yanayohusiana na kujamiana huusishwa kama kama vile Pangusa ,UTI, Fangasi, Kisonono, nk. Pia utoaji mimba usiosalama, kuharibika mimba, au kujifungua kwa njia zisizo salama na kuweka vitu ndan ya uke kama vizuizi vya mimba pia huchangia maradhi haya. DALILI ZAKE Dalili za ugonjwa huu huwa kama ifuatavyo: • Maumivu katika tumbo la chini na sehemu za nyonga. • Kutokwa na uchafu mwingi wenye h