SAYANSI YA MIMEA FAHAMU MAAJABU YA MCHEKEA MCHEKA CHEKA FAIDA NA MATUMIZI YAKE
NAAM karibu tena kwenye mfululizo wa darasa zangu zinazohusiana na tiba za asili na sayansi ya mimea. Unaweza kwenda pamoja na mimi kupitia ukurasa wangu wa mtabibu asili tz fb sambamba na youtube pia n mtabibu asili tz na group la whatsap link ipo mwisho wa makala haya. Mti huu unajulikana kwa majina mengi sana wengine huuita nchema, mseka, msekela nk. Una asili ya kuota sana ukanda wa Pwani maeneo yenye mapori na hata maeneo ya makaburi. Una vitunda ambavgo vikiwa vichanga hufumba vikikomaa na kuiva hufumbuka na tunda zake zina rangi ya uekundu na unjano palae unapofunguka ndo wazee husema unacheka ndo maana halisi ya mchekea. Tufahamu faida zake MAJANI YAKE yanatumika katika matibabu mengi sana kwwnye tiba asili. Ukichukua majani machanga ya mti huu ukatafuna inatibu maradhi ya vichomwi vya mwili visivyoisha iwe tumboni miguuni mgongoni na sehemu yoyote ya mwili. Pia ukichukua majani yake ukatwanga yale maji yake ukaoshe kidonda kisichopona utaona maajabu yake ukimaliza kuosha weka