ALAMA, ISHARA, NDOTO NA MADHARA YA JINI NA SULUHU YAKE




KATIKA maisha ya mwanadamu yameandamwa na hudhuni na furaha. Ila mwanadamu hufurahia zaid anapokuwa na furaha kuliko kuwa na huzun. Katika maandiko matakatifu yanaema kuwa ukipata ushukuru na ukikosa ushukuru pia usikufuru kwan yote ni makadirio yake muweza.


Binaamadamu anapozaliwa huishi na wazaz wake anapokuwa hufurahia anapoanziasha familia yake, wapo watu hulia pindi anapoachana na familia kwanda kuanzisha familia yake ndoa. Katika ndoa kinacholeta furaha zaid ni uzazi ndio faida na ndio furaha zaid ya ndoa.

Jini mahaba anaweza akakusosha vyote kati ya hivyo nilivyovitaja je furaha itakuwa upande wako. Ishara za jini huyu ni mtu kutopenda watu wa jinsia nyengine ikiwa ni mwqnamke basi kuchukia wanaume na hapendi kabisa hali ya kuanzisha mahusiano.
Wapo wanaoteska na uzazi lakini wamepata bahat ya kuolewa. Zipo ndoa zinazoyumba ugomvi kila siku lakini chanzo ni huyu jini mahaba.

Utafahamu vipi kama una jini mahaba hapa utaandamwa na ndoto za kufanya jimai yaani tendo la ndoa kwa mfululizo yaan hizi ndizo zitakuwa ndoto zako na ukiota unafanya mapenzi unajisikia raha zaid kuliko ukifanya mapenzi na mwanaadamu wa kawaida ikikomaa hii mtu huomba usiku uingie ili akapate burudani ya tendo hilo.

Pia kuota unazaa unakabidhiwa mtoto kuota unanyosha, kuota unaolewa kuota una vtu vya thaman kama dhahabu majumba na vipando vya kifahar iwapo ndoto zinakujia mara kwa mara basi ndoto zinazoashiria kuwa una jini mahaba.
Akikomaa utaota unaoa au olewa na una watoto kadhaa ambao umezaa lakini watoto hao huwaona ndotoni tu. Na kuna maisha unayaish kila unapolala aidha unaenda miji ya watu unatambulishwa na wanakufurahia.

Wapo majini wanaotoa fedha kwa makubaliano yaan mfano umekubali kuwa naye na akakupa mashart yake na atakuwa anakutokea na unaongea nae huyu anaweza kukupa fedha lakini za mashart mfano usiwe na mtu mwingine kimapenzi zaid yake na hapa hutapata watoto katika ulimwengu wetu. Pia hata hizo fedha matumizi yake pia huwa na mashart mfano usimpe mtu mwenye jinsia tofaut na wewe hata awe mzazi wako na mashart mengine.

Pia anaweza kukupa nuksi mfano huolew au huoi kila anayekuja harudi tena. Kwan yeye pia ameumbwa na wivu anataka akutumie yeue tu nyakat za usiku. Hapa ni tofaut na huyo anayeonekena yaan haweza kukupa fedha lakini anaweza kukupa nuksi usipendwe ili akutumie yeye.

Anaweza akazuia kizazi maana ukiwa na mimba yeye kwake itakuwa ngumu kukuingilia. Sasa dawa huyu kiumbe ni kumtoa hakuna njia nyengine mtu akikuambia sijui amuweke sawa akupe mali ni uongo dawa ni kumfurusha tu.

Wapo wanaosikia na hutoka kwa haraka wapo ambao kitoka kwao mpaka ufanye kazi unaweza ukatembea ukaambiwa katolewa kisha ukamuona tena.

Kama una ndoto na ishara hizo nenda duka la dawa nunua mvuje ukilala jifunge mkono wa kushoto na kitambaa cheusi hawez kuja kukuingilia lakini hio ni dawa ya kumtuliza ila jambo la msingi ni kumtoa 

Nmetoa ufafanuzi kuhusu ishara na ndoto na madhara ya huyu jini lakini sitoi msaada wala maelezo ya kumiliki jini kuna watu akili zao wanaona kila kiti sawa kwao sasa mesej au maswali ya kuwa nampataje huyo jini sitazijibu

Una tatzo lolote la nguvu za kiume uzazi chango nyota kazi biashara keai mahusiano kuuza kuibiwa nk niachie ujumbe inbox
+255621442936

Group la whatsap ni la malipo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI