FAHAMU KUHUSU VIFUNGO ISHARA, DALILI NA NDOTO ZAKE



UHALIGANI mpenzi mfuatiliaji wa darasa zangu kupitia ukurasa huu wa Mtabibu Asili Tz. Leo tutazungumziq vifungo ishara dalili zake na aina za ndoto zinazoashiria vifungo.

Kuna vifungo vya aina nyingi kulingana na milango ya riziki ya mwanaadamu. Mungu alipokuumba alikukadiria riziki zako za kipato tunauita mlango wa mali chumo au kipato. Kuna ruziki za ndoa huitwa mlango wa mapenzi, kuna riziki za uzazi nk.

        huu ni mfano wa kofungo na kuadhibu mtu.   macho kutoona mbele wala kuonekana na watu hasa hufanyiwa wanafunzi


Wapo walioruzukiwa mali wakanyimwa kizazi, wapo waliopewa kizazi wakanyimwa mali wapo waliopewa vyote wakanyimwa busara wapo walionyimwa vyote wakapewa akili.

Tukiachana na mipango ya mungu wapo waanaadamu wanaingilia kazi ya mwenyezi mungu ikiwa ni pamoja na kuziba riziki za wenzao kwa lengo la kuwakomoa. Leo nitazungumzia dalili na ndoto za mtu aliyefungwa na wanaadamu.

Kuna vifungo vya mali vifungo ndoa mapenzi elimu uzazi hedhi kazi nk. Mfano kindoa unaweza ukawa unachumbiwa lakini waume hawarudi na ukijiangalia umekamilika vizur una sifa zote za kuwa mke lakini unaishiwa kuchezewa na ahadi kuwa nyingi ni moja y ishara ya kifungo cha ndoa, kwa mwanaume kila utakapotaka kutia nia ya ndoa basi moyo hinyongea na hata kwenye mahusiano hulega kila sku ugomvi na hakuna maelewano yaliyosawa.

Vifungo vya uzazi hivi huwapata hasa wanawake ingawa pia kwa wanaume huwatokea mara kadhaa. Umeolewa umefikisha umri wa kuzaa na jimai unafanya kama kawaida lakn hupati mimba. Umepima hospital zote umekunywa madawa mengi bado hali haijakaa sawa yaweza ikawa kifungo cha mimba watu wamekufunga ili usizae au wakat mwingine mimba hutunga ila wanazila kabla wewe hujajisikia chochote.

huu mfano wa mtu aliyefungwa kizazi na huu mdori huitwa mwanasesere kizungu wanaliita voodoo

Kama yuwapata mimba zikakaaa kisha zikatoka hilo ni jambo jengine yaweza ikawa jini mahaba jini pakuzi au mlegeo wa mfuko wa uzazi hima jambo jengine.

Elimu unaweza ukawa na akili nying ukaongoza darasa ila ukaja ukafer mtihan wa mwisho. Au wengine sku ya mtihan apata ugonjwa wakutoona maandishi kwenye karatas wakat mwingine mtu huwa kichaa kabisa. Kuhusu kazi unaweza ukawa una vigezo vyote vya kupata kazi lakini ukakuta wanapata kazi watu ambao hawakupat hata robo kielimu wala experience kila unapopita wagunwa.

Hedhi wanafunga kabisa ile damu huion yaani upo tu na unaitwa mwanamke kwakuwa una jinsia ya kike lakini ile ada ya kike huion huyu hata kuzaa ni mtihan na hapa watu wengi hujifunga wenyewe kwa kutokujua. Mfano wa dada wa sasa hv akiwa period anavaa ped akiivua anaitia kwenye ndoo ya taka ile ndoo unaifunika kaja mbeba taka umempa ile ndoo bila kuifungua na yeye akaenda kutupa pasina kuifungua umejifunga mwenyewe hedhi hakuna uchaw hapo.

Ishara na dalili zake watu wenye vifungo unaomba kazi hupati ahad nyingi zisizotimia, dharau mpaka na watu uliowazidi umri. Wachumba wanakuja hawarud au hupati kabisa hata wakukupa salamu. Uzazi kuwa mgumu umekunywa dawa zote lakini bado hupati hedhi kabisa. Una elimu au akili kubwa unachukia shule au chuo. 


Ndoto zake kuota upo kizani, kuota vizuizi kama ukuta mrefu unakimbia na wenzio wanavuka sehem wewe unashindwa kuvuka, kuachwa na usafiri mara kwa mara. Ndoto za shulr unafanya mitihan mgumu umechelewa shule unachapwa shule umafungwa jela. Kuota kijijini kwenu wakati wewe umeondoka kitambo kuota umerejea utoto au mitaa uliokaa utotoni

Wanafunga kwa kutumia mwanasesere, mate, damu ya hedhi nyota yako nywele kucha nk. Nimejitahd kufupisha maelezo maana ni mada pana sana.

Kikubwa kama una dalili hizo fika kwa wataalama walio karibu nawe wakuangalie kiundani umetengenezwaje na watajua wakufuangue kivip msaada kiofc niachie ujumbe inbox au namba yangu.

Nafafanua kuhusu namba yangu huwa napokea simu nyingi  na mesej nyingi ila kwa mesej huwa sizijibu zote huwa zinafutika kwa urahc tuma ujumbr inbox ya page au whatsap 

+255621442936

Group la whtsp ni la kulpia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI