MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA NDOA, NYOTA ZINAZOENDANA KATIKA MAPENZI MA BIASHARA
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA NDOA
ZAMANI WAZEE WALIKUWA WAKIANGALIA NYOTA KABLA YA KUFUNGA NDOA
wakipata majibu yakuridhisha ndipo ndoa hufungwa. wakat mwingine huangalia mpaka mlango wa saa na siku nzuri yakufunga ndoa yenye baraka kulingana na nyota zao.
Ndo maana unakuta ndoa za zamani zilidumu sana na watu walisikilizana na kupendana kulko cku hz.
Ikitokea mtu kampenda na hawez kumuacha na anataka kufunga nae hapa hufanyika kazi ya kulinganisha nyota ndo utakuta mke anabadilishwa jina ili kukishi hesabu au wakat mwingine kuna mafanyo ya kitaalam hufanyika na mambo hukaa sawa.
KWANN WATU WENGI HUOANA SIKU YA IJUMAA SAA SABA NA SAA NANE
ni kwasababu ck ya ijumaa inatawaliwa na mapenzi ya mwanamke na mwanaume na ufalme unamiliki ck hiyo ni mapenzi na saa saba na nane wanasimama shamsi na zuhura ni nyota za mapenzi hivyo ukifunga ndoa mda huo ni sahihi.
CK MBAYA KABISA KUFUNGA NDOA
cku ya jumamosi kuna masaa si mazuri na siku ya jumanne haifai kabisa kufunga ndoa
TABIA KUU ZA NYOTA
nyota za uzawa zipo 12 kama nlvyoorodhesha kwenye jedwali kulingana na tarehe na mwez ulozaliwa soma makala zilizopita
tabia za nyota zipo nne hapa tafadhali tuliza kichwa chako soma kwa makini. TABIA HIZO NI
MOTO, MAJI, UPEPO, UDONGO
kujua tabia ya nyota yako ni mahesabu ya kitaalamu kidogo hivyo fka kwa wataalam wa nyota walio karibu na ww au nitafute private.
kwenye hizi tabia unatakiwa usishirikiane kibiashara wala mapenzi na mtu mwenye tabia kinyume na ww
mfano tabia yako ni moto bas usishirikiane na mtu wa maji wala udongo unatakiwa ushirikiano mtu wa upepo maana moto na upepo ndo huwaka zaidi
na kazi zako ziwe zinahusiana na moto aidha kipika ufundi wa kuchomachoma. NK
MTU mwenye tabia ya maji anatakiwa ashirikiane na mtu wa udongo kwa sababu maji yanakaa kwenye udongo
kazi zake zinahusiana na maji ujenzi umwagiliaji nk
hivyo waweza ona ndoa haidumu mahusiano yanawaka moto au biashara haziend yote ni sababu za kutoendana kinyota. Ila iwapo ushaingia mbilini na una mitihan zipo njia za kurekebisha hayo kwa wataalam
Mfano umeoa siku au mwez sio mzur itakupasa ipote talaka dawa yaana unamuacha kisha unamuoa tena katika manaziri yaliyosawa kulingana na nyota zenu
Ni mambo yanayohitaji utaalam zaid nmetoa hili darassa ili kutoa tongotongo machoni
+255621442936
Una tatzo lolote la uzazi nyota nguvu za kiume biashara mapenzi nyota kuibiwa nk kwa dawa niachie ujumbe inbox
Whatsp group ni la malipo
Comments
Post a Comment