UWIANO WA NYOTA KATIKA USHIRIKIANO WA MAPENZI NA BIASHARA (NYOTA ZINAZOENDANA)

UWIANO WA NYOTA KATIKA USHIRIKIANO WA MAPENZI NA BIASHARA (NYOTA ZINAZOENDANA)

BAADA YA KUZUNGUMZIA KUHUSIANA NA MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA NDOA. IKIWA NIMEFAFANUA JINSI YA KUANGALIA SIKU NZUR YA KUFUNGA NDOA LAKINI NANI UNAFAA KUFUNGA NAE NDOA AU NANI UNAFAA KUSHIRIKIANA NAE KATIKA BIASHARA ZAKO AU SHUGHULI ZA KUSHIRIKIANA.


Nlifafanua juu ya tabia za nyota na ulinganifu wake. Sasa tufahamu nani unafaa kufunga nae ndoa na siku gani ni nzur kulingana na nyota zenu soma kwa umakini zaid.

Nyota zinazoendana kimapenzi ni ; zinazofuata asili ya nyota moja au inyoana pamoja mfano  nyota zenye asili ya MOTO anauona na MOTO mwenzie au inaoana na nyota ya UPEPO halikadhalika mwenye upepo anatakiwa kuoana na upepo mwenzie au MOTO na hii hata kibiashara pia inafuatana hivyo hivyo.

Wenye nyote ya  MAJI wanaweza oana na MAJI wenzie au UDONGO halikadhalika kwa UDONGO anaoa UDONGO mwenzie au MAJI hii hata kibiashara pia yatakiwa iende hivyo

Matatizo yatakayotokea endapo mtu wa moto akimuoa mtu wa maji maana yake ridhk zitazimwa kutakuwa hakuna usawa katika maendeleo bimaana maji yanazima moto. Pia mtu wa udongo akiolewa na mtu wa upepo maana hakuna kitakachomea kila mtakachochuma kitapepea tu.



TABIA KUU  NNE ZA NYOTA NA MAKUNDI YAKE

KUNA tabia nne kuu kama nilivyoeleza hapo juu na kima ifuatavyo
      Moto: Kondoo, Simba,Mshal
      Maji: Ng’e, Samaki, Ka
      Hewa: Mapacha, Mizani, Ndoo
      Udongo: Ng’ombe,Mashuke,Mbuzi

NYOTA ZIPI ZINASHIRIKIANA KATIKA NDOA NA BIASHARA

Nyota yako inabebwa na tarehe yako ya kuzaliwa ndio njia yenye nguvi zaidi kwa kutumia majina haina mashiko kwa sababu utakuta mtu ana majina ziadi ya moja.

Huu ni mfano wa nyota zinazoendana lakini ukiangalia juu kwenye tabia za nyota angalia nyota yako ipo kundi gani kisha angalia nyota nyengine ambazo upo nazo kundi moja au tabia nyengine ya nyota mnayoona au shabiina 

nyota ya Punda inaoana na Mizani, Ng'ombe anaoana na Nge, KAA anaoana na Mbuzi, Simba anaoana na Ndoo wakati Mashuke anaoana na Samaki na Mapacha inaoana na Mshale.

Narjea tena huu ni mfano soma vzuri makundi hapo juu

Una tatzo lolote la nyota biashara kazi mahusiano ndoa uzazi nguvu za kiume bawasiri kesi kuibiwa nk kwa dawa na ufanyaji niachie ujbe inbox ya page
+255621442936

Kwa wanaohitaji group la whatsap ni la malipo


Comments

  1. Kama mtu haifahamu tarehe yake ya kuzaliwa atajuaje nyota yake wakati kutumia majina sio njia sahihi sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushasema hujui tarehe yako ya kuzaliwa huna budi kufauata majina ila tarehe ndiyo muhimu zaidi

      Delete
  2. Ndio sijui tarehe wala mwezi nafanyaje

    ReplyDelete
  3. Jaman mim sielewi mim nimezaliwa tarehe 15 mwez 4
    Na mume wangu wamezaliwa taree20 mwezi 12 je nyota zetu zinaendana kweli

    ReplyDelete
  4. Mim n maji na mwenzangu N upepo ndoa itakuwaje apo jamniiii?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI