FAHAMU FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA MKOMAMANGA NA TUNDA LAKE



MKOMAMANGA ni mti unaopandwa sana na kumea ukanda wa Pwani. Watu huupanda kama mmea au mti kwa faida ya matunda yake.

Leo nitakupitisha katika matumizi ya dawa kwa kutibu maradhi mbali mbali yanayowasumbua wanadamu. Mti huu kuanzia mizizi mpaka majani yake hutumuka katika tiba mbalimbali. 

Juisi yake huweza kushusha presha, juisi yake ukachanga na asali hurejesha kumbukumbu hasa kwa watu wazima wenye matatzo ya kusahau.

Ukichukua juisi yake ukachanga na ndimu unaweka kukukinga ugonjwa wa ini na manjano. Unywaji wa juisi yake unaweza kupunguza maumivu ya meno na kuua vijidudu vya meno husafisha kibofu cha mkojo na kutibu U.T.I.

ukichugua maganda ya ya tunda la mkomamanga ukayaanika yakakauka ukasaga upate unga wake ukachanganya na asali inatibu maradhi ya vidonda vya tumbo utaumia kwa aiku 21 vijiko viwili asubuhi na jion.

Ukichukua majani yake ukatwanga unamaliza tatzo la vtu kutembea tumboni unakunywa kama juisi au unaweza kuanika ukatwanga kisha ukaweka unga wake kwenye chai yako ni nzur kutoa sumu mwilini.

Au unawea chukua tunda lake ukalipasua ukaroweka siku nzima kisha kunywa maji yake yanasaidia kusafisha tumbo kwa uchafu wa vyakula pamoja na sihiri ndogo ndogo.

Kuchukiwa na watu kazini au eneo unaloishi

Mizizi yake ukiiisga kupata unga utagawa mara mbili kisha utachanganya na mafuta ya nazi utatumia kupaka na nyengine utachanganya na maji huleta nuru na kuvutia kwa kile unachokitaka kumuendea mtu.

Uchumaji wake ili iwe tiba amka asubuh siku ya alhamisi uendee huo mti ukiwa na fedha zenye rangi ya fedha au nyeupe mfano shilingi mia tano kwa tanzania uwe na mtama walau kiganja kimoja


Utakapoufikia utapiga hodi utautaja jina lake huo mti utaelezea hitaji lako kwamba unataka mzizi kwa shughuli gani wakat unazungumza huku unamwagiamwagia huo mtama huo mti 

Ngoa mzizi ukimaliza fukia weka hyo fedha hapo nenda nao nyumbani kaendlee na shughuli zako.

Tawi lake linaweza kuadhibu mwizi au mtu aliyezini na mkeo au mumeo hutengenezwa bakora kwa kutumia tawi lake husemewa mambo fulani yakitaalam kisha utandikwa chini au pahala kwenye mti maalumu basi yule mwizi wako huchapwa bakora mpaka atajileta mwenyewe

Uchumaji wake na masemaji yake siyatoi hapa unashida hii njoo ofisini au weka ujumbe inbox.

Mti huu hutumika kurogea watu kutuliza watu wasiotulia mme mke hutumika kwenye bishara nitafafanua zaid kwenye group

Una tatizo lolote la uzazi nguvu biashara mahusiano ndoa mapenzi kesi kuibiwa nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Group la whatsap ni la kulipia kwa wanaohitaji

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI