ROSEMARY MMEA UNAOHESHIMIWA NA WAFALME KUTUNZA KUMBUKUMBU FAHAMU FAIDA NA MAAJABU YAKE



NCHINI Uturuki wafanyaki wa waluokuww wakifanya kazi kwenye makasiri ya kifalme na wanajeshi wakuu wa ngazi za juu walikuwa wakitumia mizizi ya mti huu kutengenezea kofia zao. Ikiwa ni sehemu ya kutunza kumbukumbu katika matukio yao. Kila ngome ya ufalme lazima utaukuta mmea huu na ulikuwa ukitengenezewa bustani ya maalumu kulingana na faida yake.


Mmea huu unaaminika kwa asilia 70 kwamba una uwezo wa kurejesha na kutunza kumbukumbu vzuri. Baadhi ya nchi za Ulaya na Asia wanafunzi walikuwa wanavishwa mashada yaliyotengenezwa na maua ya rosemary na walikuwa wakifaulu mitihan yao wakiamni kwamba harufu ya yale maua yanaweza kukumbusha kile ulichofundishwa na mwalimu wako.

Kuna baadhi masaa machache kabla ya mtihani hupuliziwa harufu ya mti huu ili kurahisisha wanafunzi kukumbuka kutokana na maswali watakaoyokutana nayo kwenye mitihan huu unaitwa  Rosemary soma makala kwa umakini zaidi una faida nyingi.
Kwa wanawake wenye hedhi isiyopishana yaan kwa mwez huweza kwenda hata mara mbili kwa mwez  Saga majani yake kisha tengeneza juisi kunywa glasi mbili kwa siku, muda wa wiki mbili. 

Unywaji wa juisi ya majani pia huweza kutibu tatuzo la ges tumboni huoni hafifu wale wanaovaa miwani.

Pia inaweka sawa sukari ya kupanda na kushuka, inasaidia kuondoa maradhi ya shinikizo la juu na la chini la damu na kuondoa lehemu mwilini.

Ukipata maua yake ukayaanika vizur kibaridin ukapata unga wake iwapo utaichoma husaidia kurejesha kumbukumbu kwa watoto hujenga mfumo imara wa ubongo kukamata mambo haraka. Pi humaliza muwasho wa koo kwa watoto wawekee kidogo kwenye uji ama chai 

Majani yake kama utayakausha juan na kupata unga wake ukatumia kwenye maziwa fresh unaweza kurejesha hamu ya mapenzi lakini pia wale wanaosikia maumivu wakati wa tendo hii ni kwa wanawake.

Pia majani yake humaliza kansa hufubaza makali ya HIV hata wale wanaougugua TB huweza kupandisha kinga mwili haraka.

Mizizi ya mti huu ukiisga vzur ukapata unga hutumika kumrejesha mtu aliyepotea hutengenezwa tarasimu na maandishi fulani huandikwa nyuma ya picha ya aliyepotea huchomawa hizo dawa kwa mafanyo maalumu ile tarasimu huiweka mama wa aliyepotea kwenye ziwa lake kisha humuita mwanae mara tatu haipiti siku saba atakuwa amesharud.

Pia hutumika kurejesha wapenzi pamoja na mambo mengine ya kitiba zaid nitaeleza kwenye group.

Mti huu hutumika kama kiungo kwenye chakula pia hutumika kama pambo la chakula kwenye mahotel makubwa duniani
Iwapo utaupanda nyumban kwako utapata faida nyingi kama nilivyoeleza hapo juu.

Una tatzo lolote la kazi nyota mapenzi kesi kuibiwa kuuza nguvu za kiume uzazi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Group la whatsap ni la malipo kwa wanaohitaji




Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI