JIMAI NGUVU ZA KIUME TENDO LA NDOA NA HAMU KWA WANAUME NA WANAWAKE



Jimai ni tendo la ndoa sasa kumekuwa na changamoto nyingi kwenye tendo lenyewe la ndoa kwa wanawake na wanaume hali inayopelekea wahusika kuchepuka ili kupata furaha na kuridhisha hisia zao.

Kifupi tendo la ndoa ndio ndoa yenyewe hayo mengine ni mapambo ya ndoa tu. Kwa wanaume tatuzo kubwa ni nguvu za maumbile madogo lakin kubwa zaid ni nguvu za kumfikisha mwwnzi wako anapopataka. Na kwa mwanamke ni kuwa na hali ya kufanya tendo au hamu na wakat mwingine mazingira ya uke yawe vzur nshafafanua sana makala zilizopita.

Siku hz kumeibuka wimbi la watu wengi wanauza dawa za nguvu za kiume tena kwwnye makopo yanayovutia. Usichokijua kwanza watakiwa ujue chanzo cha ugonjwa wako ni kipi kisha tibia tatizo kwanza nguvu zitarud zwnyewe automatic.

ZAMANI ULIKUWA UKIATHIRI WATU WAZIMA KUANZIA UMRI WA MIAKA 45 LAKN KWA SASA NI TOFAUTI MPAKA VJANA WA MIAKA 20 WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA TATIZO HILO. 


UTAJUAJE KAMA UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.kushindwa kumridhisha mwanamke aidha kwa kutorudia tendo au kutosimamisha vizuri 

2. kushindwa kumpatia ujauzito mwanamke kutokana na kusinyaa kwa misuli inayosimamisha uume 

3. Kushindwa kusimamisha kabisa 

4. Mwili kukosa afya ya kutosha hvyo kusinyaa 

SABABU ZINAZOSABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME 

1. Kupiga punyeto kwa muda mrefu 
2. kuangalia picha za ngono 
3. matumizi ya vinywaji vikali 
4. kuugua kwa muda mrefu presha sukar tb nk
5. msongo wa mawazo 
6. kazi ngumu pasipo kupumzisha mwili 
7. mpangilio wa chakula 
8 malimbwata pia yanaathiri nguvu za kiume
8 uvalishaji watoto wa kiume pempas kwa muda mrefu.
9.jini mahaba
10.kufungwa kichawi
Na wakat mwengine hata ngiri pia hupunguza nguvu za kiume na ari ya mchezo

Kwa wanawake wao kukosa hamu hutokana na hommon inballance, jini mahaba, kufanya makaz magumu, mawazo kupta kiasi na wakat mwengine viunga uke. Siku hz kuna makungwi wa mitandao watakuambia sijui weka pipi kifua mbelen sijui madubasha gani na wewe unaweka pasina kuchunguza elimu ya huyo kungwi kiundani mwishowe unaumwa mafangasi kukosa kabisa hamu kutobeba mimba nk.

Kwa ufupi kila mmoja atakiwa kuwa makini katika maisha na ndoa usipende kufuata mkumbo fuata wataalam.

Nini ufanye kurejesha nguvu na hamu nmeeleza kwamba kila tatizo lina tiba yake kikubwa ni kutibia tatizo ila kwa wanawake tafuta kungu manga habbat soda unga abdalasin na kitunguu saumu vyote viwe unga weka kwenye maziwa fresh ya moto kunywa mara mbili kwa sku ndan ya sku saba utapata hamu ya kutosha.


Kwa wanaume tafuta habbatsouda kungu manga tangawizi vitunguu saumu filfilabyadh dalasini weka kwenye asali saf ya nyuki tumia vijiko viwil asubuh na jion kwa siku saba.

Muhimu kumbuka usikurupuke kununua madawa bila kujua tatzo utakuwa unaongeza tatzo vtu nlvyotaja vinapatkana maduka ya dawa asili nchi nzima

+255621442936

Una tatizo lolote au unahtaji dawa ya nguvu zakiume kukuza dhakar kuongeza hamu una tatzo la nyota mapenzi kesi biashara nk niachie ujumbe inbox

Group la whatsap ni la malipo

Una swali uliza chini

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI