FAHAMU MMEA WA MSHONA NGUO FAIDA NA MATUMIZI YAKE KWA MARADHI NA DAWA ZA ASILI



MMEA huu ukawe ponyo na dawa kwa wanaawake wote wajawazito ambao wana tatzo la upungufu wa damu. Huu hurejesha na kuonheza damu haraka zaid. Tumia kama mboga tu au waweza chemsha ukanywa ile supu yake ni mujarabu.


Kww wale wanaoshika mimba kisha zinaharibika lakini huna jini mahaba wala jini pakuzi mti huu unaweza kukusaidia. Nenda kwa bibi yako au dada yako mkubwa unayemuamini hana husda mkauchume huo mti mrejee nao nyumban.

Nduguyo apekeche kwa viganja vyake mpaka itoe mchuzi utanyonya kwa kutumia kiwiko chake. Hakikisha ni mtu mzima mwenye akili timamu lakini asiwe na jicho la husda.

Ukichukuwa Majani Ya mti huu uki Chemsha yanaongeza damu kwa mtu yoyote yanaweza kumaliza mafua yanayokera husafisha kibofu hvyo humaliza U.T.I 


Ukichukua majani yake ukitwanga yale maji yake yanatibu mtoto wa jicho tia matone mtatu jichoni. Hubana uke kama utavaa kama pedi yale majani yaliyolainika

Ukitumia kama chai huweza kupunguza mwili na kuounguza shinikizo la damu na maumivu ya moyo.

Maua yake yana asili ya vimiba vinaweka kunasa kwenye nguo iwapo utapita karbu ni dawa ya vidonda sugu Kaanga Upate Unga Uwe Unapaka eneo lenye kidonda.  

Uki jifukiza unga wake  kweny moto huleta mvuto wa mwili kwa manuizo maalumu kile unachokitaka. Lakini hili uanze kwanza kuoga maji yake yaliyochemsha na chumvi ya mawe ya bahari

Hutumika kwenye Biashara Na Mapenzi kurejesha mapenz na mambo mengine nitafafanua kwa uref kwa group.

Ufafanuzi mti huu una majina mengi lakini kila jina huitwa kulingana na dawa inayotaka kufanywa unaitwa visosoti manyulinyuli mboga kuu mfano dawa za mapenzi au bishara huitwa mshona vingi bimaana hushona mapenzi hushona watu kama duka watu washonane nk
 Unapatikana kwa wingi maeneo yenu mnayoishi ni jambo la kuutafuta tu.
Maswali uliza hapo chini

Una tatzo lolote la afya mapenzi ndoa kesi kuibiwa buashara nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442939 kwa whatsp
 Group la whatsp ni la malipo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI