FAHAMU KUHUSU MMEA WA ZAATAR SIRI FIDA NA UTUMIAJI WAKE SIRI YA UZAZI, VIDONDA VYA TUMBO




NIMFULULIZO wa darassa za miti shamba na mimea asili ambayo ina faida huwenda ukawa unaiona lakini hujui faida zake, basi fuatilia ukirasa huu wa Mtabibu Asili Tz tupate kuulisha ubungo wako mimea ya tiba asili


Pichani ni mmea unaofahamika kwa jina la zaatar hapa nchini sio maarufu sana na hata upatikanaji wake ni shida kidogo. Ila kwenye maduka ya dawa asili zipo dawa zenye mfumo wa unga, majani na mafuta fuatilia darasa kwa utuo.

Majani yake mabichi hutengenezewa chai kama mchaimchai na ukinywa utapata faida zifuatazo muawasho wa koo na kikohozi huisha, inaboresha mzunguko wa damu kwa asilimia kubwa inatibu shida ya kupumua.
Pia inasiadia kukinga kifua kwa maradhi nyemelez.

Mafuta yake huwenza kuondo amabaka na madoa michirizi makovu ya moto na uparesheni ila inategemea na aina gani ya mafuta maana yana aina nyingi na wengi huyengeneza kwa ubora wa chini


Majan ukiyatengeneza kama juisi yanazuia na kupunguza maumivu ya madonda ya tumbo. Ukichukua sanamaki na zaatar inaweza kushusha presha haraka wakat ikiwa imeenda

 Kuondosha uvimbe katika kizazi
Chukua hina ya unga sanamaki na zaatar.chemsha pamoja na inywe kwa majuma manne mtatu mfululizo.mara tatu kwa siku

Kisha twanga majani ya mbaazi na uwe unavaa kama ped kwa siku zote za utumiaji kila leo badil pia kuna mchanganyiko wa mafuta hupakwa tumboni kwa ajili ya kuyeyusha haraka na msaada zaidi

Kwa maradhi ya vidonda vya tumbo
Upate unga wa zaatar kisha tafuta dawa zifuatazo hapa chini bulkar hadi, habbat souda, manemane, kamun abyadh na zamda

zote ziwe za unga utapima kijiko kimoja cha chai kila dawa tia kwenye maji yaloyochemka lita moja yaache kidogo anywe mgonjwa kikombe cha chai yote kwa siku zima tumia ndani ya ck saba kila siku tengeneza mpya

Angalizo mnaposoma makala zangu angalien vzur picha na maelezo ukikosea kitu basi hutibu tatzo na huweza kuongeza tatzo. Pili dawa ninazosema zinapatikana madukana bas hakikisha anayekuuzia ni mtaalam maana kuna wengine hawawez acha pesa akasema dawa fulan hana matokeo yake unapewa dawa sio hutbu tatzo na huenda ukaongeza tatzo jengine

Una tatzo lolote la afya nguvu za kiume mapenzi kazi nyota biashara kuuza kuibiwa nk niachie ujumbe inbox ya page

+255621442936 kwa wanaotaka kupiga au whatsp mesej za kawaida hzijibiw kwa namba 

Group la whatsp ni malipo kwa wanaohitaji

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI