MAAJABU YA MISHUMAA SEHEMU YA PILI FAHAMU JINSI YA KUONGEZA UPENDO KAZINI NA NYUMBANI

MAAJABU YA MSHUMAA SEHEMU YA PILI KUHUSU MAPENZI IWE KAZINI AU NYUMBANI

SOMO hili linahusiana na balaa la mishumaa na kazi zake kuna kitabu nimekiandaa kinahusiana na mishumaa rangi na jinsi inavyofanya kazi. Muda chache ujao kitakuwa mitaani 


Leo naongelea kuhusiana na kuongeza mapenzi kwa mpenzi wako au kazini kwako tafadhali soma kwa umakini ili usiulize swali ambalo nmeshafafanua. Ndio maana ukiangalia post zilizopita kuna coment huwa sizijibu kwa sababu mtu anauliza swali wakati hajasoma.

Vitu vinayohitajita kwenye kazi yako ni 
Mshumaa wa blu
Karatasi ya blu
Pini au nwiba wa uaridi na kalamu nyekundu

Mafanyo yake
Kwanza watakiwa uwe msafi bimaana huna hedhi nifasi wala janaba utatandika mswala wako au jamvi mkeka siku ya alhamisi usiku kabla kupindukia saa sita utaweka vifaa vyako mbele yako kisha utaandika majina ya muhuiska awe bosi au mpenzi kwenye mshumaa kwa kutumia mwiba au hiyo pini, maandishi yatoke juu kule unapowashia kuelekea chini utaansika jina lake baba na mama kama jina la mama hulijui andika hawa.
Ukimaliza washa huo mshumaa ukiwa juu ya kitu aidha kishani au chombo chochote tuma salam zako ambia huo moshi kile ukitakacho kwa huyo uliyemkusudia

Kisha utachukua peni hiyo utaandika majina yako kwenye karatasi na majina ya umtakaye yawe matatu matatu kama nilivyoanisha hapo juu utaikumbatia hiyo karatasi huku ukiaema utakacho ukimaliza ikunje vizur iweke chini ya mto wako wa kulalia.

Nenda kalale acha mshumaa ukiwaka asubuhi chukua mabaki ha mshumaa weka chini ya kitanda chako. Ile karatasi kila ukitaka kulala utafunua na kuikumbatia kuzungumza ukitakacho kwa muda wa siku tatu kabla ya kulala ukimaliza unairudisha chini ya mto au ndani ya foronya.


Km utaanza alhamisi maana yake jumamosi itakua siku ya tatu jpili asubuhi ukiamka. Iwapo kama umefanya kwa ajili ya mapenzi chukua ile karatasi na yale mabaki funga kwenye kitambaa cha hariri cheupe nenda kwenye sehemu maji yanayotembea aidha mto nk safirisha kazi yako kwa manuizi utakayo basi hakika uliyemfanyia utamshika.

Km ni kazini tafuta mti mkubwa fukia hivyo vitu chini ukiwa umevifunga kama nilivyoeleza hapo juu

Wabillah tawfiq mishumaa nankaratasi za blue zinaoatikana maduka ya dawa asili mwiba wa uslaridi nenda kwa wanaouza miti ya mabustani kitambaa cha hariri masokoni au maduka ya daw

Kama una tatizo lolote wahitaji kufanyiwa dawa za mapenzi nyota kazi kesi ndoa biashara nk niachie ujumbe inbox
+255621442936

Maswali uliza hapa chini sio inbox
www.tabibuasili.blogspot.com
Whatsp group ni la kulipia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI