DAWA ZA WATOTO KUCHELEWA KUONGEA NA KUTEMBEA


KUNA sababu nyingi zinazopelekea mtoto kuchelewa kwwnye hatua za makuzi yake. Moja ya sababu hizo ni pamoja na ziwa la mama anayemnyonyesha iwapo ziwa litakuwa zito basi mtoto atachelewa kwenye hatua za ukuaji na uzito wa ziwa ni hali ya uhalisia wala haina tiba ila mtoto unaweza ukamtibu.

Mambo mengine ni pamoja na kuwadekeza watoto na kuwaonea huruma unakuta mtoto unri wa kukaa lakini mzazi hamkalishi kitu kingine ni kuchezewa na wenda usiku hasadi za watu wanaokuja kumuangalia vifungo nk nishaeleza kuhusu kumkinga mtoto soma somo liliopita kwenye ukurasa wangu

Hapa ntaeleza njia tatu rahsi zisizokuwa na madhara, kuna nadharia nyingi huelezwa juu ya dawa za watoto ila usikurupuke nyingi zina madhara. 

 Njia ya kwanza

Muamshe asubuhi kabla watu wote kuamka Mfagie miguuni na mfagie unyayo kisha muweke mlango wa nje katikati msukume polepole na ufagio atoke  nje funga mlango akiwa nje atalia kdg then mchukue atatembea tu

Fanya hivyo mara kadhaa hii dawa ya asili za mababu na mabibi


Njia ya pili

Chukuwa ganda La mdizi lile la nje yaani kamba ya mgomba uiweke barabarani hakikisha gari au Pikipiki inakanyaga alafu mfunge kiunoni kwa siku Moja alafu umvuwe 

Kama umenfunga asubuhi basi mpaka kesho asubuhi

Hakikisha ni kamba ya mgomba ile iliyokauka unamfunga kama kina mama mnavyofunga shanga zenu.

Njia ya tatu

Wakati ukipika ugali vizia maji yakiwa yamechemka kabla hujatia unga toa maji kidogo kisha endelea na zoez la upish ukimaliza angalia maji yapoe kidogo mnywishe kisha muweke kwenye beseni na umkande kwa mikono yako kutoka kiunoni kushuka chini na hayo maji.

Muhimu angalia njia rahisi kwako kwa mfanyia subiri mrejesho haitapita majuma matatu utapata majibu muweke mtoto na watoto wenzie apate kuchangamka mpe vyakula vyakumchangamsha

Sasa wapo wanaosema umkande miguuni na nguo yako ya ndani huweza kumsababishia nuksi mtoto na maradhi pia wengine husema umfunge kucha ya kuku miguun hakikisha huyo kuku ni jinsia ya mtoto vinginevyo utamsumbua kuna vtu vingi acha niishie hapo

mtoto kuchelewa kuzungumza  tafuta 

udi karaha tunda za rozi na sukar mawe. Utazisaga zote ziwe unga weka zote gm 20

Matumiz chukua kikombe cha kahawa weka maji kidog vuguvugu tia kijiko kimoja unga huo na kijiko kimoja cha asali

Tumia 1mara 3 kwa  muda  siku30

Yaan icho kikombe cha kahawa igawe mara tatu asubuh mchanw na jion

 Hii pia inasaidia kwa mtu aliyepinda mdomo

Kwa mtoto mwenye kigugumizi mchemshie mizizi ya mbaazi kwa siku 21 kila ck anywe mara mbili jinsi ya kwenda kuchuma mzizi ili uwe dawa nitaeleza kwenye group la whatsap

 

Kwa wahitaji wa dawa za mvuto biashara mapenzi kumaliza kesi kaz nyota kurejesha wapenzi kwa dawa tu niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la kulipa

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI