IPI TAFSIRI YA KUOTA UNAKULA NYAMA UNALISHWA VTU NA UKAHISI HARUFU BAADA YA KUSHTUKA FAHAMU KWA UNDANI







NDOTO hutafsiriwa kulingana na mazingira ya muotaji pamoja na masaaa aliyoota. Hapa namaanisha si kila ndoto ina tafsiri na si kila ndoto ina tafsiri moja yategemea na mazingira ya muotaji yapoje mazingira ndio huleta tafsri halisi ya ndoto.

Pia si kila mtu ana uwezo kutafsiri ndoto. Kutafsiri ni elimu na kipaji maalumu kutoka kwa allah. Leo tuangalie tafsiri ya kulishwa au kula vitu ndodtoni.

Maisha ya mwanadamu chakula ndio kila kitu, mlo ndio uhai na maisha yenyewe. Ikitokea mtu hajakula chakula fulan muda mref kisha mchana wake ukaiwaza upo uwezekano mkubwa usiku kukiota hcho chakula ucku wake.

 Ukiota unakula nyama mwenyewe bimaana hulishwi tafsiri yake ni dalili ya kutaka mafanikio ama kufanikisha jambo lako kwa njia ya kudhuru ama kuumiza wengine, yaani ufanikiwe wewe lakini ukiacha wengine na madhara.

Ili upate nyama lazima kiumbe kipoteze uhai wake, mfano kirekebisha nyota yako utakapochinjiwa kuku mweupe basi umetoa uhai wa kuku ili kuweka sawa yakwako ndio tafsiri yake

 Na ukiota unakula nyama upo sehem ya watu wengi na ndoto zikawa za kujirudia, mazingira yakawa sehem ya sherehe upo kama mgeni mualikwa tafsiri yake unataka kuingizwa kwenye chama cha uchawi na hyo ni hatua ya pili ya kuingizwa kwenye chama hicho.

Ukiota unalishwa nyama kwa nguvu au polepole na ukaamka ukahs kabisa una harufu kuna ktu mdomon kimepita umelishwa kweli nyama usiku na si nyama ya ngombe wala mbuzi ni nyama za panya mbwa paka watu na huwa zimetengenezwa ili kuja kuudhuru mwili wako kama kukilufunga riziki, nyota kizazi nk.

Ukiota unalishwa au kukabwa kisha ukaminyana na ile nyama ukaitema basi ni ishara ya kuwa wameshindwa kukulisha kutokana na mwili wako kuwa mzito kwa kinga ulizonazo au madua unayosoma kabla ya kulala.

Ukimuota mtu amekulisha nyama na unamfahamu kwa sura na asubuh ukaamkia ukabahatika kuonana naye kisha akakuonyesha sura ya tabasamu na kuanza kukuuliza vp usiku wa jana ulikuwaje ujue huyo ndiye anayeratibu mchezo mzima wa kukuongiza uchawini.

 Atakaeota anakula miba ya samaki yajuilisha ni ufukara utamgubika. 

 kuota unakula miba ya samaki kisha inakukwama rohoni inamaana kuna njia ya kutafuta Maisha ambayo ni mbaya ila ww unalazimisha 

 Ukiota unakula samak waliooza tafsr yake utapata mpenz mzinifu na wewe pia inaashiria utakuwa mzinifu wa wake au waume zawatu.

Asililima kubwa watu huota wwnakula nyama na si bamia wala maharage.

Una tatzo lolote la nyota biashara kazi mapenzi kesi kuibiwa nguvu zakiume uzazi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whtsp group ni la malipo kwa wanaohtaji

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI