Posts

Showing posts from August, 2020

WATU WENYE MIDOMO AU KUFUATILIA SHUGHULI ZA WATU JINSI YA KUWAZIBA MIDOMO 'MAWIFI, WAKWE, OFISINI NK

Image
SOMO hili ni kwa ajili ya kuziba watu midomo hasa wale wanaofuatilia mambo yako na kukukosesha raha. Ikiwa waishi nyumba na watu wenye kuongea sana mawifi wakwe ofisini fuatalia hili darasa mpanga mwisho.     MASHARTI KWA MFANYAJI Yatakiwa kweli iwe umeonewa na wasemwa kwa ubaya ikiwa wewe ndiye mbaya unataka kuwafanyia wenzio kwa kuwaonea itakurudia na kukudhuru. Mahitaji ya shughuli hii yatakiwa upate kitu alichotema kwa mdomo wake mfano mswaki punje za ubuyu machungwa au mchanga aliotemea mate. Ikiwa wataka umfunge na mwendo asiweze kutembea kupeleka habar zak utachukua na unyayo wake wa mguu wa kuume. Mchanga alipokanyagia mguu wa kulia ukiwa bila viatu bimaana peku. Utatafuta kitambaa cheusi kirefu ganda la konokono aliyekufa usimuue umkute aliyekufa akiwa wa baharini ni vzur zaid, upate unga wa muinamo, poza . Kazi yako utaifanya siku ya jumatatu saa tano asubuhi au jumanne saa moja asubuhi. Utawkea vifaa vyako sehemu moja utachukua utaweka kitu kilichotoka mdomoni mw

UCHAMBUZI WA NYOTA NA TABIA ZAKE KATIKA MAFANIKIO YA KIMAISHA NA MAPENZIYA 'NYOTA NG'OMBE'

Image
MUENDELEZO wa darassa zinazohusiana na nyota zenu hasa katika maisha ya mwadamu utafutaji ridhk mapenzi na mambo mengine ya siri. Leo tutaongelea nyota ya ng'ombe ikiwa ni sehemu ya pili baada ya jana kuongelea nyota ya punda anaykuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Hii ni nyota ya pili katika ule mzunguko wa nyota 12 na watu wa nyota hii ni wale waliozalia kuanzia tarhe 20 April hadi May 20. Au watu wenye majina yanayoanziwa na heruf B,V na U na nyota hii ina jinsia ya kike. Kama umezaliwa kuanzia tarehe 20 April namaanisha 20,21,22,23 mpaka unapoishia mwez huo na ukaanza tena mwez April tarhe 1,2,3,4 mpaka 20 April ndio watu wa nyota hii pia kama huijui tareh yako ya kuzaliwa ila jina lako limeanziwa na heruf nilizozitaja pia na wewe ni miongoni mwa nyota hio.    ASILI SIKU NAMBA NA RANGI ZA BAHAT Asili  ya nyota hii ni Udongo sayari yake ni Zuhura siku yake ya bahat ni ijumaa namba yake ya bahati ni sita rangi ya bahat ni ya kijani.      Kama unahtaji

MBWA KATIKA ULIMWENGU WA NDOTO NINI TAFSIRI NA MAANA ZAKE

Image
SABARKHAYR mpendwa mfuatiliaji wa darasa zangu za ndoto tiba nyota na mambo mengine muhimu kwa mwanaadamu leo nakuletea tafsiri ya ndoto za kuwaona mbwa anayekuletea masomo haya ni Mtabibu ASILI TZ. Ukimuona au kuwaona mbwa wanapigwa na mtu ni ishara ya kuwa siku zijazo utakuwa na ugomvi na mtu wako wa karibu kadri idadi ya mbwa watakavyokuwa wengi ndivyo ukubwa wa ugomvi utakavyokuwa. Ukiwaona mbwa wenyewe wanashambuliana ni ishara ya maadui zako au jamaa zako wenye ubaya na wewe kugombana wenyewe. Ukiona mbwa amekufa au wamekufa ni ishara ya  mabalaa ugonjwa kwa watu wako karibu kufa msingi kutatokea ugomvi wa ndugu jamaa au wafanyakazi wenzio, ukiwaota watu wanaua mbwa au mbwa mgonjwa ndoton kama n mfanyabiahsra kuna hasara pia ishara nyengine mtoto ataumwa ugomvi katika ndoa kununiwa na wazazi na jamaa wa karibu.  Kama mbwa anabweka ktk ndoto, inamaanisha kwamba muotaji ni fidhuli na mwenye tabia ya karaha na kuchukiza. Kuumwa na mbwa au kuparurwa inamaanisha madhara ya

NYOTA NA TABIA ZAKE KATIKA MAFANIKIO NA MAPENZI 'NYOTA YA PUNDA

Image
NITAWALETEA mfukulizo wa darassa za nyota na tabia zake katika mafanikio ya biashara kazi mali utafutaji pamoja na mafanikio ya kimapenzi na. Ufafanuzi huu utahusu nani ushirikiane nae matatizo ambayo nyoya yako lazima yaipitie.  Pia nitagusa mafanikio na vipi ufanye ili upata mafanikio na kupata kile unachohitaji. Nyota zipo 12 jaribu kufuatilia kila siku nitaweka nyota moja kuanzia leo huwenda ya leo isiwe nyota yako ila vumilia itakapofika siku ya nyota yako utapata maelezo ikiwa una haraka zaid kuna namba mwisho wa makala utaitumia utachangia gharama utafafanuliwa. Leo tuanze na nyota ya PUNDA sababu ni nyota ya kwwnza katika msimamo wa nyota 12. Hii ni wale waliozaliwa kati ya tarahe 21 mwez machi mpaka tarhe 20 April pia watu maboa hawajui nyota zoa watu wenye majina yanayoanziwa na heruf A,M,Y,L na E. Ninaposema kuanzia 21 mwez wa 3 mpaka 20 wa nne najumlisha 21,22,23,24 mpaka mwsho wa mwez na kuanzia tarhe 1,2,3 mpaka 20 mwez wa nne kuwa makini.           SIKU NA NA

NDOTO ZA CHOO HAJA NDOGO KUBWA FAHAMU TAFSIR ZAKE

Image
LEO tuangalir ndoto za kuota haja kubwa, ndogo kuota unakiona choo ama kinyesi na tafsiri zake. Kama ulipitwq na madarasa ya ndoto ya awali soma post zilizopita ili kujipatia maarifa katika ndoto zako anayekuletea tafsr hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Tafsiri ya ndoto za haja zimeagwanyika katika mafungu mawili, kuna ndoto zinazoashiria wema na kuna ndoto zinazoashiria ubaya utakaokutokea siku za uson hapa yategemea na mazingira ya muotaji na yeye yupo katika hali gani. Kitendo cha kutoa haja mwilini kinatafsiriwa kuwa n tukio la kutoa uchafu mwilini na kuwaacha mwili uendelee na mambo mapya ila kumbuka asiyeenda haja pia atakuwa ni mgonjwa. Mtu aliye katika msongo wa mawazo ana mambo yana mtatiza iwe kodi kesi maden na mambo ya kimapenz, mtu huyu akiota anajisaidia haja kubwa sehem nzur yaan choo kisaf maji ya kutosha ni ishara ya kuwa mambo yake kwa asilimia kubwa yataisha mara moja. Ikiwa ataota anakwenda haja ndogo sehem hyohyo bimaana ni safi na kila ktu cha kwendea haja kip

JINSI YA KUMFUNGA MTU ATULIE AWE CHINI YAKO KATIKA MAPENZI

Image
KUMFUNGA MKE AU MUME ATULIE ASICHEPUKE MASHARTI  = ili kufanya kazi hii lazima.                                       anayefanyiwa       awe.                                           mume au mke siy  mpenzi                                      wala hawara                            = anayemfanyia mwenzie lazma                               awe ametulia sio unamtuliza                                 mwenzio ksha ww unapuyanga TAFUTA VTU VFUATAVYO         MZIZI WA MKWAYU         MZIZI WA MUHAKULO UPATE KTU KLCHOTOKA MDOMONI MWA MKUSUDIWA AIDHA UPATE MATE YAKE BIMAANA UPATE MCHANGA WA ALITEMEA MATE AU MSWAKI ANAOTUMIA AU KTU CHOCHOTE ALICHOKITEMA  mfano mbegu za ubuyu machungwa nk hakikisha kimetoka mdomoni UTACHANGANYA HVYO VTU PAMOJA NA KIPANDE CHA KTAKO CHA KNU CHA ZAMANI KISICHOTUMIKA KISHA UTAFUKIA JIKONI JIKO LA KUNI AU KWENYE MTI MKUBWA KWA MANUIZI Hatakuwa na wazo la kutafuta mtu mwingine, ukitaka akienda kukutana na mtu utupu usionekane yaan wakitaka kufanya tu uchi hauonekani u

KUMUONA NA KUMJUA MWIZI WAKO ALIYEKUIBIA MALI, MKE MUME

Image
IKIWA umeibiwa umeibiwa mali zako na humjui mtu aliyekuibiya hii inakupa muongozo wa kumjua mtu aliyekuibiwa haraka. Hii inajumlisha kuobiwa mali mifugo umeibiwa sehemu yako ya biashara watu wamevunja umeibiwa kwenye gari umekabwa mtaani fuata maelekezo yafuatayo. Kwanza unatakiwa uwe na vtu vitatu katika shughuli hii. Upate chetezo chombo cha kuwekea moto, ubani ubani mashataka ubani makka na uvumba upate na kipande cha kitambaa cha kijan unaweza ukanunua au kukata katika ngu zako. Shughuli hii inafanywa siku ya alhamisi usiku au jumapili asubuhi ndio siku maaalumu. Ila katika siku za kawaida utaandalia masaa yanayokuruhusu kukidhi haja yaan masaa ambayo dawa za kukidhi haja hufanywa. Itaandikwa tarasimu hyo hapo chini kwa zafarani ziandikwe karatasi mbili mfano wa tarasimu yenyewe ni huu hapa. Ukimaliza kuandika hizo tarasimu utawasha moto kwenye hicho chetezo utachoma hizo dawa nilizokuambia hapo juu kwa manuizi maalumu juu ya kile unachokikusudia. Utasema mm

KUWAONA WAZEE 'AJUZA' 'NYANYA' NDOTONI WALIOKUFA NA WALIO HAI NINI MAANA NA TAFSIRI YAKE

Image
  LEO tutazungumza kuhusiana na ndoto zinazowahusu vikongwe ajuza. Ikiwa unaota alaf kwenye ndoto yako kuna taswira ya mzee ni nini maana yake na nini unatakiwa kukifanya hii ndio anuani ya somo letu la leo fuatana nami mpaka mwisho wa makala haya ili kufaham zaid.    Ndoto hizi zimegawanyika katika sehemu mbili, moja kuna kuota wazee waliokufa bimaana watu ambao unajuana nao. Pili kuna kuota kuona wazee ambao huwajui kabisa na hujawahi kukutana nao. Kwenye ndoto za wazee waliokufa hapa nitazungumza na watu wako waliokufa ambao unawaota ndotoni.          KUWAONA WAZEE WALIOKUFA   Ukiota mzee aliyekufa anakuomba kitu au msaada ni ishara ya kuwa alipo anahitaji dua na maombi kutoka kwenu ninyi mliopo hai. Hapa pia ukiota mtu aliyekufa yupo katika hali mbaya au anakuhadithia kitu cha kusikitisha juu yake, ninaposema hali mbaya siwez kuorodhesha mambo yote ila namaanisha akiwa katika hali ya hudhun mfano kaaachwa na usafr kanyimwa chakula anachapwa anaumwa yupo dhaifu yapaswa u

NDOTO ZA NYUMBA, UKIOTA UNAJENGA UMEBOMOKEWA UNAUZA NK FAHAMU MAANA ZAKE

Image
SABAR KHAYR mpenzi mfuatiliaji wa mfululizo wa darassa zangu zinazohusiana na dawa asili ndoto na maradhi kwa ujumla. Leo tutazungumzia kuhusiana na ndoto zinazohusu nyumba. Yaan umelala ukaota ndoto inayowasilisha nyumba ndani yake. Ndoto hizi ninazotafsir zinawahusu binaaadamu wote isipokuwa yule fundi wa ujenzi wa nyumba ikiwa shughuli zako ni ujenzi wa nyumba. Ubongo wako utakuwa umekariri kazi zako kwako wewe kuota unajenga ni jambo la kawaida ila ikitokea ukawa unaota mara kwa mara ndoto zinazohusiana na nyumba na wewe ni fundi ujenzi yakupasa usome kwa makini maneno hayo chini. Ukiota unajenga nyumba ni ishara ya mafanikio katika kazi biashara utapata mafanikio milango ya ndoa ipo waz utaoa na utapata furaha. Ukiota unabomowa nyumba ni ishara ya mitihan mambo yako hayatakaa sawa. Ukiota unabomokewa na nyumba yaani nyumba imebomoka upo ndani na watu wanakuona ni ishara ya kutoka siri zako kama una ahad pahala basi haitatimia au kupata nusu hata ukimuotea mtu kabomokew

KUMREJESHA MPENZI KWA KUTUMIA PICHA YAKE MAJIBU NDANI YA SIKU TATU

Image
NIMEKUWA nikipokea jumbe nyingi kuhusiana na kesi za mapenzi, wengine wakidai kukimbiwa wangine ndoa kuvunjika. Juma lililopita nilitoa darasa kuhusu mnamata kuna watu wameutafuta huo mti na wamwniletea mrejesho mzuri. Leo nitazungumza kwa ufupi sana juu ya kuachwa ama kuvunjika kwa mahusiano. Kwqnza yaweza ikawa riziki imekwisha hapa ufanye nini unajisumbua hata nikikupatia dawa atakurejea lakini hutaishi kwa uhuru. Pili kuna husda za watu nakumbuka nilishawahi kuliUngumzia hili pekua darasa zilizopita. Tatu kuna nuksi, nne kuna faraqa yaani imepigwa kitu mkatimuana pia kuna limbwata na mambo mengine mengi. Sasa kila sababu ina mafumbuzi yake sasa kama utataka tu kumrejesha wakati wewe una nuksi atarud lakini hata kuwa sawa. Halikadhalika malimbwata na mahasada vilevile yana usumbufu wake pasina kuyafanyia ufumbuzi. Fika kwa wataalam wakuangalie nini chanzo na vipi utavuka kikwazo Hapa nawapa baadhi ya vitu vya kurejesha mpenzi ila ifahamike pasina kutibia tatzo atarudi la

MAMBO YAMPATAYO MTU KUTOKUOGA KUJITWAYARISHA JANABA, HEDHI NA NIFASI

Image
KWANZA tufahamu janaba ni josho linalopatikana baada ya kufanya jimai 'tendo la ndoa', nifasi ni damu inayomtoka mwanamke wakat wa kujifungua na hedhi ni ile damu ya kila mwezi anayoipata mwanamke akiwa kwenye siku zake. Sasa hv vna sheria zake za kujitwayarisha unapomaliza kuwa katika hali hiyo. Haya niliyobainisha hapa juu moja tu ndilo limpatalo mwanaume na ni janaba. Wakat kwa mwanamke mambo yote matatu anayapitia na anahtajika kujitwayarisha mara baada ya kuisha hyo hali. Ukiangalia kwenye misiba mashulen makanisan idadi kubwa ya watu wanaongoza kuanguka kwa kuvamiwa na mapepo ni watoto wa kike wanawake. Hii ni kutokana na miili yao kuwa michafu baada ya ya matokeo ya kutojitwayarisha kwa muda unaotakiwa hvyo vile viumbe vichafu majini huwaingia katika miili yao kiuwepesi. Hata ukiingalia idadi ya watu wanaongoza kuingiliwa na majini mahaba ni wanawake ndio wengi zaid kuliko wanaume. Mwanamke anapojifungua hutakiwa kujitwayarisha mara baada ya kukata ile damu y

NAMNA YA KUJITWAYARISHA KUKOGA JANABA HDHI NA NIFASI

Image
BAADA ya kuongelea madhara yampatayo mtu kwa kutokuoga nifasi hedhi na janaba sasa tufahamu jinsi ya kujitwayarisha hayo majosho au kuoga. Ufuate mashart ya udhu yaani maji ya kufanyia shughuli hyo yawe twahara, maji hayo yawe halisi yasiwe maji ya kutengeneza, maji hayo yawe yako yasiwe ya kuiba wala kupora kwa mtu, uondoe vtu ambavyo viatafanya maji yasiingie mwilini kama nywele za bandia kucha za bandia mafuta mazito ya ngozi na utoe nguo ngumu yaan ubaki mtupu.         JINSI YA KUOGA JANABA  Unaanza kwa kutia Niyyah nia si lazima utamke kwa saut yatakiwa moyon ville unapotoka tu ndani kwenda choon na ukasema naenda kujitwayarisha na janaba tayar yatosha kuwa nia au kwa kuongezea utasema nanuia kujiywayarisha na jana kiarabu husemwa nawaitu twaharatul janaba utatia kimoyomoyo.  Kisha utaanza kunawa mikono yako kabla ya kuitumbukiza katika chombo,halafu unaosha sehemu zako za siri Hakikisha umenawa vzur tupu yako zile athari za jimai ziwe zimetoka bimaana mbegu za kiume &

UKIOTA UNAFANYA MAPENZI NA MAITI, UKIOTA UNAFANYA MAPENZI NA MNYAMA, UKIOTA UNAFANYA MAPENZI NA BABA AU MAMAI AKO IPI TASFIRI YAKE

Image
NDOTO ZA MAPENZ NA TAFSIRI ZAKE SEHEMU ya kwanza nilizungumzia kuhusiana na tafsri za ndoto ya mapenzi nikagusia jini mahaba pamoja na tafsiri nyengine kama ilikupita isome kupitia page yangu mtabibuasilitz. Leo ntazungumzia kuhusiana na ndoto za kuingiliana kimapenzi watu wa jinsia moja yaani umelala umeota unafanya mapenzi na mwanaume mwenzio au mwanamke mwenzio ndicho ninachomaanisha. Ndoto hizi zipo katika maana mbili zipo za kichawi na kiroho. Kwa maana kuna mazingira ukiota huwa ni ishara ya wachawi wamekutembelea siku hiyo na mazingira mengine huwa ni yakiimani zaidi sasa hizi ndio tafsiri zinazoleta maana na ubashirio. Mwanaume ukiota unaingiliwa kinyume na maumbile aidha na mkia wa mnyama au uume wa mnyama au mnyama mwenyewe ndo anakuingia au binaadamu mwenzio ukahisi maumivu makali sehemu hyo na hata ukija kushtuka maumivu bado yapo na wakat mwingine hudumua mpka asubuhi na kuendelea haoa rafki yangu umeingiliwa kweli na wachawi na wamekuja kwa lengo la kukukomoa.

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

Image
NAENDELEA kuwakumbusha kwa mwenye kuhitaji group letu la whatsap andika namba zako inbox yetu jina na mahala unapoish utapewa namba ya malipo utakuwa miongoni mwa wanafamilia yetu. Tukiingia kwenye darassa la ndoto napenda kufafanua kitu kimoja kuna baadhi ya ndoto hazina maana hasa kwa muotaji. Na nmewah kufafanua sana hili sasa ikitokea nimekujibu kuwa ndoto yako haina maana usikarikie. Kuna ndoto za iblis kuna ndoto za mungu na ndoto zamawazo yako, kwa mfano leo nazungumzia ndoto za hela sasa hapa kwa wale wanaofanya kazi benki au sehemu za cashier ambao wamadili na hela hawa kwao kuota hela ni jambo la kawaida kwa sababu ni sehemu ya maisha yao sasa kuna baadhi ya ndoto kwao hazina tafsiri huo ndo ukweli. Pia kwa wale watu ambao wapo kwwnye maombi ya kitu fulani kwa muda mrefu basi ndoto za fedha kwao ni majibu. Ukiota mtu amekupa hela basi hicho unachokiomba utafanikiwa na ukiota unatoa hela basi haitafanikiwa.  Iwapo unaota unaokota fedha na kwenye maisha ya kawaida u

NDOTO ZA KUSAFIRI NA VYOMBO VYA KUSAFIRIA NA TAFSIRI ZAKE

Image
LEO tutazungumzia ndoto za kusafiri na kupanda vyombo vya usafiri kama gari, baiskeli, pikipiki, ndege na vyombo vyengine. Kama umepitwa na darasa za ndoto zilizopita tembelea ukurasa wangu mtabibu asili tz au jiunge group la whatsap. Ndoto za safar ni ndoto zenye maana kubwa sana katika maisha yako kwa mtu aliye makini. Unaweza ukaota ndoto moja ikatasfr maisha yako yote mpaka unakufa. Ukiota umeachwa na gai yaan ulkuwa stend alafa gar ikakuacha tafsiri yake ni ishara ya kukosa kazi au kuna jambo ulilotaka kulifanya basi ujue halitotimia. Ukiota umepanda gari iwe ya abiria au private na ukasafiri salama ni ishara ya ya kupata ulichokusudia na mambo yako yataenda sawiya.  Ukiota umeachwa na chombo chochota cha usafiri kwa kulala yaan ile mida imefika wewe umelala. Maana yake mafanikio yako yapo karibu ila huchangamki umebetekwa aidha kwa uvivu au kuna watu wanatembelea nyota yako. Ukiota umeachwa na usafiri ila kuna mtu kakuchelewesha aidha ki makusud bimaana muda wa kusafr

NDOTO ZA VIFO NA KUWAOTA WATU WALIOKUFA

Image
HABARI yako mpenzi mfuatiliaji wa darasa zetu kupitia ukurasa wetu huu wa mtabibu asili tz. Tunapenda kuwajulisha kuwa kila swali liulizwe chini ya mada husika usilete maswali inbox. Inbox kwa wati wenye shida maalumu tu za kufanya kazi pili kila kitu tunachokizungumza tunaweka na ushauri au jinsi ya kumaliza tatizo chini ya mada husika ikitokea unahitaji msaada wa kiofisi si bure hii ni kazi heshima iwepo. Twende kwenye tafsiri za ndoto za vifo. Hapa namaanisha muotaji ukiota umekufa au kuota maiti kuota upo mazishini kuota mtu aliyekufa yaani kwa kifupi ni ndoto zote zinazohusisha kifo. Kifo ni mwisho wa maisha ya mwanadamu ya kidunia mtu akifa anaenda kuanza maisha mapya ambayo ni siri mimi na wewe hatuayajui. Kwa maana hiyo tafsiri ya ndoto za kifo mara nyingi huwa ni mwisho wa jambo fulani yaweza ikawa mwisho wa huzuni ikaja furaha, yaweza ikawa mwisho furaha ikaja huzuni, yaweza ikawa mwisho wa biashara yako mwisho wa ndoa yako mwisho ufukara kwenda utajiri nk. Hivyo

UKIOTA UMEKUFA UKIOTA UNAONA MAITI NDOTO ZA VIFO NA MAZINGIRA YAKE ISHARA NA TAFSIRI

Image
Kama nilivyozungumza katika makala ya awali kifo ni mwisho wa mwanadamu na ni mwanzo wa maiti. Kwa hiyo ukiota kifo inaashiria ni mwisho wa jambo fulani na ni mwqnzo wa jambo jingine yweza ikawa kutoka kwenye ubaya kwenda kwenye wema au wema kwenda ubaya huzuni kwenda furaha umasiki kwenda utajiri na kinyume chake UKIOTA UMEKUFA NA KUFUFUKA Utafanya madhambi na utamuomba mungu msamaha kabla ya kifo chako UKIOTA UMEKUFA NA WATU WAMEKUZIKA  Ishara ya kuishi muda mfupi na utakufa bila kufanya toba. Ila ukiota umekufa ghafla bila kuumwa na hakuna tukio la mazishi utaishi umri mrefu. UKIOTA UMEKUFA,WATU WANAOMBELEZA NA KUKUFANYIA SHUGHLI ZA MAZISHI Dunia yako itakuwa nzuri lakini akhera yako imeharibika. KUOTA MAITI INAJIOSHA YENYEWE Watu wako watatoka kwenye majonzi na mali yao itazidi. Kama kuna mgonjwa atapona kama mnadaiwa mtalipa kama mwadaiwa mtalipa.  UKIOTA MAITI IMEVISHWA SANDA  ILA HAIJAKAMILIKA UVAAJI WAKE Utatiwa kwenye majaribu mazito ya zinaa na mtu wako wa karibu 

SIRI NA MAAJABU YA MUOSHA FEDHA KATIKA MIVUTO YA MAPENZI NA BIASHARA

Image
NIMEWAHI kuongea mara kadhaa kuhusiana na mti wa muosha fedha na faida zake leo naleta muendelezo wa faida za mti huu kama kuna somo lilikupita acha uvivu pekua makala za zamani utapata darassa zangu zilizopita Mti huu ni mdogo kiumbo lakini ni mkubwa kimatibabu. Upo katika mfumo wa mti lakini hasa hutumika zilizokatika mfumo wa unga bimaana huanikwa na kusagwa zipo maduka ya dawa asili popote ulipo. Kwa shughuli za biashara Utachukua maji ya bahari utaweka muosha fedha unga mwinula pigia deki au nyunyuzia eneo lako la biashara pia choma muosha fedha changanya na mwita mfunguo na muharaka itapendeza zaid kama utapata buhuri za ufunguzi kulingana na nyota yako Hayo bahur n mambo ya kitaalam fika kwa wataalam karb yako sina maelezo ya hili Kuupa mwili nuru  Muosha fedha marashi jabal, Habati nuksi, Nyota ya jaha,mwitai, Mfunguo mauarudi, muaharaka na mvumo Changanya vyote saga tumia ku oga siku saba asubuhi na jion ni vizur ukaimailza sk ya alhamis jioni kisha ijumaa baada ya

SIKU NA SAA NZUR YA KIFUNGA NDOA YA KUFANYA MIKATABA YA MASHIRIKIANO KIBIASHARA KAZ NK.

Image
BADO tupo kwenye milango ya nambari za saa au saatul habar. Tumeishaizungumzia namba za kujua je unayetaka kuonana nae yuakufaa na nikachambua nn ufanye ikiwa ninkweli unamuhitaj lakini mahesabu hayapo sawa kama limekupita angalia makala iliyopita kwenye ukurasa wangu. Tuingie katika mada yetu je ni masaa gani mazuri kufunga ndoa na ni siku bora zaid. Katika milango ya mapenzi na mahaba siku ya Ijumaa imetawaliwa na hvyo vtu sasa tufafanue hiyo siku ya ijumaa muda gani unafaa na nn kitatokea iwapo utayakosea hayo masaa. Saa moja asubuhi ni saa mbaya hakuna heri ndoa itakuwa na mitihan mpaka mtaachana. saa mbili asubuhi na saa tatu asubuh iwapo utaipata hii utapata watoto wengi wenye heri lakini pia ndoa yenu itapendwa na ndugu wa upande wote na ufalme utakuwa kwa mwanaume. Saa tano na saa saba ni nzuri utapata riziki na watoto utapata. Saa sita sio nzur utaporomoka kimaisha hasa ukioa tarehe ambazo hazigawanyiki. Saa nane utapata mabalaa kwenye ndoa hasa kwa wakwezo. Saa ti

IFAAHAMU NYOTA YAKO SIKU YAKO YA BAHATI NA NAMBA YAKO YA BAHATI

Image
BAADA kuzungumza kuhusiana na ngekewa na ile makala ya pete za bahat, na majini maswaliengi yalikuja hata wengine hawafahamu nyota zao ni zipi. Sasa leo jitahidi kuwa makini kwenye hili somo nitazungumzia nyota na kuichambua vzuri tafadhali angalia tarehe na mwez vzur Soma makala kwa makini usiniulize swali ambalo nimeshatolea ufafanuzi hapa. Jitahidi kuwa makini na kuelewa ninaposema mtu aliyezaliwa kuanzia 21 mwez wa tatu mpaka tarehe 20 mwezi wa nne namaanisha watu waliozaliwa kuanzia tarhe 20, 21, 22 na kundelea mpaka mwezi wa nne kuanzia tarhe moja,2,3........mpaka20 zinaenda hivyo angalia tarhe na mwez wa kuzaliwa kisha angalia upo upande gani utapata majibu hujui mwez wa tarhe ya kuzaliwa nitafute ila utachangia. Yafuatayo ndio machambuzi ya nyota siku yako ya bahati, nani ushirikiane nae rangi gani ya bahati nk NYOTA YA SAMAKI,PIECES,HUWT. Watu waliozaliwa kuanzia 21 februar mpaka 20 Mach Inatawala siku ya alhamisi Tabia yake maji. Namba yake nzur kumi na mbili. Nyo